- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
Mimi sio mmoja kati yao!Mmekuwa waoga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mmoja kati yao!Mmekuwa waoga sana
Wanawake ni viumbe vinavyopenda Sana kuchunguza Mambo madogomadogo ya watu ikiwemo muonekano.
Mwanamke akikuangalia Sana jua anakuthaminisha kihivi...
Rangi
Urefu
Umbile
Kipato
Nini unamzidi
Kipi anakuzidi
Anakudefine pia who u might be
Sasa tafiti zinaonyesha kwamba mwanamke akikuangalia saaaaana ujue anatafuta thamani yako na udhaifu wako. Vs. Ubora wake na udhaifu wako.
Sasa wataalamu wanasema ukitaka mwanamke akuonee aibu asikuangalie kabisa fwata pattern hii...
1.Mtazame machoni kwanza
2.Kisha mwangalie tako lake.
Ukishafanya hivyo mtazame Tena utaona hakuangali ng'ooooo maana umeshampa mtihani yeye hivyo umempunguzia confidence ya kujiamini atabaki anajiuliza yeye hivi tako langu kalionaje....? Cha ajabu hata Kama tako la mwanamke ni kubwa ukishaliangalia hawajiamini anaona aibu.
Utafiti huu umelenga kuwapa confidence mabaharia wenye muonekano mbaya kwa mademu ili wajiamini.
Superbug.
Halafu ukiona yaliyomo yamo unafanyaje?Najaribu kukazia macho kama yaliyomo yamo
Acha maswaliHalafu ukiona yaliyomo yamo unafanyaje?
Nimekumiss sana JoanahAcha maswali