UTAFITI: Umaarufu wa wasanii wanaishabikia CCM umengua ghafla!!

UTAFITI: Umaarufu wa wasanii wanaishabikia CCM umengua ghafla!!

Jamani ladynaa...unakimbizwa??
Dismond tena?

hahahahaha baada ya kukosa fact unatoa pumba, yani unamfuatilia diamond ukoowake wote unawafahamu duuuuuh...

Mi mwajuma ndala ndefu mtoto wapili wa kiba
 
yaaan ata mm nataka ninunue smartfon nzur niwafollow....jackwolper....antie na wenzake....wananikosha roho vbaya munoooo
 
hakuna ukweli kwenye hilo, Dismond kaingia followers milioni jana sijaona anaepata followers wengi kwa kasi kama diamond

Na hao ni watu wameongezeka sio namba kama namba

Nina uhakika hao followers sio wa hapa tanzania..na kigezo cha ma followers hakitoshi kuwa kielelezo kuwa anapendwa na watanzania..hao ni followers globally! ..
 
Hivi ukiwa na followers wengi unalipwa sh ngapi?

Jiulize kwanini Taylor swift kafanya party this week baada ya kuongoza kuwa na followers wengi insta kumzidi kim...

Afu jibu jepesi kabisa, UNAFIKIRI KWANINI WASANII WALIO NA ACCOUNT WAMEZIFUNGUA??
 
Zamani watu walipokuwa wakiandika kuwa pengine Mange ana shida ya akili nilikuwa nawapuuzia kwa kuwa sikujua sana ukweli wa yale aliyokuwa akilumbana na wenziye...

Lakini sasa baada ya vuguvugu hili la mabadiliko kuanza na yapo mambo mengi ya kisiasa niyajuayo pengine zaidi yake, nina uhakika kabisa huyu mwanamke anahitaji ushauri...

Ni mtu anayeandika tu kila linalomjia akilini pasipo kupima ukweli, madhara n.k ya hicho aandikacho...

Kuwa mwanasiasa tena mpinzani na kundi jingine haimaanishi ndio uanze kushambulia hadi personality ya mpinzani wako....

Anaandika mambo machafu sana juu ya watu kama Lowassa ilihali hao watu ni wakubwa kuweza kuitwa baba au mama zake...
 
Nina uhakika hao followers sio wa hapa tanzania..na kigezo cha ma followers hakitoshi kuwa kielelezo kuwa anapendwa na watanzania..hao ni followers globally! ..

Yah ni international artist, lakini hilo halina uthibiti kama ni mashabiki wa nje tu ni kote kote!!!


Hao wa ukawa wanaokubalka wangekuwa hta na followers wa maana kwakuwa mnasema wanakiki sahivi lakini hakuna hta anaemkaribia chibu maana watu wa ukawa mnaosema wengi wangewafollow

Huyo lowasa mwenyewe anamiezi insta ila kapitwa followers hta na Tiffah haahahahahahahahahhha kitoto chenye mwezi mmoja tu!!! Yani hata nusu ya followers wa Tifah hajafikia mnasema ananyota

Comments 15 au hata 100 haiwezi kukupa prediction ya maana ya watu milioni waliokufollow maana hao ni mapepo tu yanawfanya watokwe mapovu na kutukana
 
Kama domo amekuwa lofa anapost uchoko kutukana ukawa kama alivyo yeye
 
Diamond ameshapoteza mvuto,,bora aachane na muziki arudie kazi yake ya kuuza mitumba
 
Huwezi kumpangia msanii chaguo lake la kisiasa kwa kisingizio kuwa mashabiki wake wana upendeleo fulani wa kisiasa kwani nae ni raia mwenye haki zote.
Kama inafikia hatua eti msanii nae apangiwe chaguo la kisiasa, hiyo ni dalili ya kudumaa kwa fikra za kijamii. Na si kweli kuwa Wasanii wanaounga mkono CCM eti hawana mashabiki kwani si Ukawa wote wenye mtazamo finyu kama wa hii thread.
Mbona sisi wengine si wana ukawa lakini Tunasikiliza sana nyimbo na kazi nyingine za wasanii wa ukawa. Tunaelewa hazihusiani na siasa. Sasa leo mtu anakurupuka na thread ya ajabuajabu tu, eti nae kazungumza.
 
Back
Top Bottom