Utafiti unavyoonesha jinsi ambavyo wanandoa wengi hukutana ama kujuana kwa mara ya kwanza

Utafiti unavyoonesha jinsi ambavyo wanandoa wengi hukutana ama kujuana kwa mara ya kwanza

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
UTAFITI UNAVYOONESHA JINSI AMBAYO WANANDOA WENGI HUKTANA MARA YA KWANZA


1. hujuana kupitia marafiki zao wa pamoja ( mutual friend) = 32 %

2. Kazini ( kufanya kazi sehemu moja) = 18%

3. Shuleni ama Chuoni kusoma pamoja = 17 %

4. Sehemu za ibada ( kanisani ama Msikitini) = 8 %

5. kwenye sherehe hasa za harusi za wenzao = 5 %


Kwa wale ambao mpo kwenye ndoa , ulikutana wapi na mume wako ama mke wako ?
 
Back
Top Bottom