Halina ubishi hili wala halihitaji Phd ndiomaana tunaitwa nchi masikini, ama nchi ya dunia ya tatu maana yake ni kwamba wengi wa watu wake wanaishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku dola moja nikama sh 2300 hivi sasa imagine kuanzia asubuhi , chai, kula mchana ,jioni , maji usafiri e.t.c , ndio mjue kwamba Tanzania ni nchi masikini sana
Kinachofanya umasikini ututawale wengi tunazaa sana bila kuandaa maziñgira ya kuwalea
Wewe chunguza familia nyingi yenye watu saba watafutaji utakuta ni wawili tu hao wengine wanasubiria kutakachopatikana kwa mfumo huo huwezi kuweka akiba hata ya 200000,
Tafiti hupingwa kwa tafiti, Mkuu, tunashukuru sana kwa kutupa hizo data japo siyo rasmi lakini kwa kiasi kikubwa unaonesha uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Kimsingi, watu wetu ni masikini, kuna kazi ya kufanya kuondoa huo umasikini.
Ndio maana watu wanatukana matusi kwenye social media, unakuta mtu njaa ni kali moja haikai mbili haikai, familia yake ni 'Mungu na Wanadamu' kifupi hana mbele wala nyuma. Hasira zote zinaishia kwenye matusi na lawama kwa wanasiasa. Hii bongo ni nyoso..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.