Utafiti Usio rasmi: Watanzania wenye kipato cha Tsh. 20,000 kwa siku hawazidi milioni tano



Ndio kawaida ya mtu fukara
 


Alafu ujuaji walionao khaaa
 
Huu utafiti tukiuwekea research proposal yaani ni utafiti ambao kwa mwaka huu wote hakuna mtaaluma yeyote aliyefanya utafiti muhimu na mzito kama huu. Hata hawa waliopata PhD hakuna anaifika hapa. Hongera sana mkuu. Boresha huu utafiti ili uuchapishe rasmi kwasababu kwanza unajua kuandika research vizuri sana pili problem yako ni halisi[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 


Ngoja ntafute pesa Mkuu
 
Tufanye umeshinda mkuu


Hapana Mkuu hatushindani.

Ila najaribu Kueleza kuwa katika hili nimechunguza Kwa muda mrefu zaidi ya miaka minne hivyo kunishinda katika hili sio rahisi.

Labda mengine nipo tayari kusalimu amri๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hapana Mkuu hatushindani.

Ila najaribu Kueleza kuwa katika hili nimechunguza Kwa muda mrefu zaidi ya miaka minne hivyo kunishinda katika hili sio rahisi.

Labda mengine nipo tayari kusalimu amri[emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe unachunguza lakini mimi ni idara yangu.
Hao unaowataja ndio mikono yangu.
So nina taarifa zao karibu mikoa yote...
Nasema mikoa sababu wanalipwa kutokana na mkoa au uwezo katika ubora wa kazi.
 
Mkuu umeandika vyema sana, wewe ni muandaaji na mwandishi mzuri wa tafiti, Umeitendea haki taaluma yako na nchi yako.

Nadhani kuna swali muhimu sana hapa
"Tufanyeje tutoke hapo kwenye ufukara huu uliotukuka?"

Tukianza na mtoa mada
Unapendekeza nini kifanyike?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
20,000 x 30 hio ni sawa na 600,000/= (Laki Sita) sasa unless wewe umetokea chini ya jiwe jana wala hilo haipaswi kukushangaza...; Kwanza kabisa wengi hawana ujira wa uhakika kutokana na kutokuwa na ajira bali wanabangaiza.

Mbili kima cha chini ni kiasi gani (wengi hata wenye ajira wanalipwa chini ya kima cha chini); Hivyo hauhitaji kufanya utafiti kutambua hilo kwamba Ubangaizaji kwa Bongo ndio mpango mzima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ