Utafiti wa Kisayansi: "Kuna maisha baada ya Kifo"

Utafiti wa Kisayansi: "Kuna maisha baada ya Kifo"

Kiranga yuko wapi, natamani kuona reaction yake kuhusu hili
mnatafuta kick kwa mgongo wa kiranga, hakuna ushahid mtu hajafa ushaona mtu anafanyiwa operation anakua amekufa? damu inaacha kuzunguka ktk mwili? nonsense leten ushahid i doubt kiranga atakua na mda wa ku respodn to such empty proof
 
Aisee hii issue nipasua kichwa ukiifikiria katika upeo wetu. Hata mimi kuhusu Bi. Pam najiuliza maswali ambayo hayana majibu. Kama waliweza kumuua kwa muda na baadaye kuurudisha uhai wake, inashindikana je kurudisha uhai wa mtu aliyekufa?
Mkuu huko si kuua ni kudhoofisha
 
Vingi ya unavyoamini uliambiwa na vingine ulisimuliwa,sasa hivi unaambiwa habari nyingine ambazo zinapingana na habari ambazo umezifahamu maisha yako yote.

Nikushauri,fanya utafiti wako kisha uamue ni kipi cha kuamini. Jaribu kuwa huru,usikubali dini iteke ufahamu wako kwenye kutaka kuujua ukweli.

Binafsi nimeshajiridhisha kwamba kulikuwa na maisha kabla ya kizaliwa na kutaendelea kuwa na maisha baada ya kufa kwa mwili.

Roho haifi.
Mkuu hebu nisaidie nawezaje kuihisi roho..?
 
Huo utafiti hamna kitu ni mkwara tu,mtu kufa maana yake ni kutoka rohoo.Kwenye huo utafiti hakuna sehemu ambayo mtu alitoka rohoo bali ni organ za mwili zilifreeze kufanya kazi tu!......Kutoka rohoo ni zaidi ya organ za mwili kufreeze kufanya kazi!!
 
Mkuu hebu nisaidie nawezaje kuihisi roho..?
Wewe ni Roho,uliye ndani ya mwili wenye nyama mifupa na damu.

Wanasema ukifanya meditation unapata mawasiliano ya ndani zaidi na kufahamu mengi zaidi ya kiroho.
 
Wewe ni Roho,uliye ndani ya mwili wenye nyama mifupa na damu.

Wanasema ukifanya meditation unapata mawasiliano ya ndani zaidi na kufahamu mengi zaidi ya kiroho.
We ulishawahi kufanya na ukaprove..?
 
We ulishawahi kufanya na ukaprove..?
Mkuu huu sio uzi wangu,naona tuache watu wachangie mada husika.

Ila utamu wa haya mambo sio wa kusimuliwa,ni kujaribu na mwisho wa siku utatoka na uzoefu wako.

Tafuta vitabu na mada juu ya reincarnation,you tube nk
 
Meditation
Mkuu watu wa meditation huwa wanatoka nje ya mwili kwa mujibu wao
Na wana uwezo wa kukaa pembeni na kuangalia mwili waliouacha,
Kwenye hili swala maisha baada ya kifo nafikiria sana ila sifahamu kama kuna life after death...
Lakin cha kujiuliza ni kwa nini watu wengi wanapokuwa wanataka kukata roho huwa wanaona watu????
 
fanya astra body projection utapata jibu
 
Aisee hii issue nipasua kichwa ukiifikiria katika upeo wetu. Hata mimi kuhusu Bi. Pam najiuliza maswali ambayo hayana majibu. Kama waliweza kumuua kwa muda na baadaye kuurudisha uhai wake, inashindikana je kurudisha uhai wa mtu aliyekufa?
Aliyekufa anakuwa ameshaingia kwenye ule mwanga mkali tayari [emoji23] [emoji23]
 
Huo utafiti hamna kitu ni mkwara tu,mtu kufa maana yake ni kutoka rohoo.Kwenye huo utafiti hakuna sehemu ambayo mtu alitoka rohoo bali ni organ za mwili zilifreeze kufanya kazi tu!......Kutoka rohoo ni zaidi ya organ za mwili kufreeze kufanya kazi!!
Ukisema roho bado kutakuwa na maswali kama vile; roho ni nini? Roho inathibitishwa je?

Sent from my HUAWEI Y511-U30 using JamiiForums mobile app
 
14720364_10153929008866080_8531297290502472454_n.jpg
 
We ulishawahi kufanya na ukaprove..?
Mimi hatajudi nimefanya na majibu nimeyaona ...
Hapa kuna mengi ya kujifunza ..
1. Mwili ni nini?
2. Akili ni nini?
3. Ubongo ni nini?
4. Hekima na busara ni nini?
5. Machale ni nini?

Ukikurupuka kufanya tahajudi pasipo kujua maana yake itakuwa sawa na kipofu kukodolea TV wakati haoni ...

Mungu ni Mkubwa na ukimwamini majibu utayaona! Katika umri wangu 40+ nimeona mengi. Kwa yale niliyoyaona sipendi hata siku moja kutamka yafuatayo:-
Sijui, haiwezekani ... na mengine mengi ya namna hiyo.
 
Back
Top Bottom