Wataalamu wa afya huwa tunatafsiri kifo iwapo itatokea kifo cha shina la ubongo (Brainstem death)... When brainsteam dies hakuna mtu yeyote anayeweza kurudisha uhai wake.. Dalili za kifo kama vile kutopumua , kuwa wa kijivu, mapigo ya moyo kusimama , kukakamaa , kuharibika/kuoza huanza kujitokeza
Inaposemekana mtu amekufa huwa tuna test maalum za kutambua iwapo shina la ubongo limekufa i.e brainstem death na hapo ndipo tunatoa tafsiri ya kifo na kuchunguza sababu za kifo hicho.. Kwa maelezo yako hapo hamna dalili yeyote ya kifo.. Hizo ni porojo na hisia tu..