Nafikiri hata kwa viumbe wengine ipo ... ndiyo maana immagination ya Paradiso ni watakatifu kukaa na wanyama poli pasipo kukwaruzana.Hivi life after death ipo kwa binadamu tu au hata kwa viumbe wengine?
Hapo kale wanasayansi walishindwa kuthibitisha mambo mengi tu ila sayansi ilivyokua yakathibitishwa.Sisi kwa sasa hatuna uwezo wa kuthibitisha rohoo ila huko mbeleni wanasayansi wataweza kuthibitisha rohoo kama vile mambo mengi yaliyoshindikana huko nyuma sasa hivi yamewezekana!!!Ukisema roho bado kutakuwa na maswali kama vile; roho ni nini? Roho inathibitishwa je?
Sent from my HUAWEI Y511-U30 using JamiiForums mobile app
Inanipa kigugumizi kuwashangaa wanaosema hakuna roho! Hivi .... zinawatosha kweli au?Hapo kale wanasayansi walishindwa kuthibitisha mambo mengi tu ila sayansi ilivyokuwa yakathibitishwa.Sisi kwa sasa hatuna uwezo wa kuthibitisha rohoo ila huko mbeleni wanasayansi wataweza kuthibitisha rohoo kama vile mambo mengi yaliyoshindikana huko nyuma sasa hivi yamewezekana!!!
mkuu hiyo brainstrem ndiyo ugwemgongo au?Wataalamu wa afya huwa tunatafsiri kifo iwapo itatokea kifo cha shina la ubongo (Brainstem death)... When brainsteam dies hakuna mtu yeyote anayeweza kurudisha uhai wake.. Dalili za kifo kama vile kutopumua , kuwa wa kijivu, mapigo ya moyo kusimama , kukakamaa , kuharibika/kuoza huanza kujitokeza
Inaposemekana mtu amekufa huwa tuna test maalum za kutambua iwapo shina la ubongo limekufa i.e brainstem death na hapo ndipo tunatoa tafsiri ya kifo na kuchunguza sababu za kifo hicho.. Kwa maelezo yako hapo hamna dalili yeyote ya kifo.. Hizo ni porojo na hisia tu..
Porojo zangu au za waliofanya utafiti? Sielewi unapinga ni nini, utafiti au uwakilishi wa huo utafiti?Wataalamu wa afya huwa tunatafsiri kifo iwapo itatokea kifo cha shina la ubongo (Brainstem death)... When brainsteam dies hakuna mtu yeyote anayeweza kurudisha uhai wake.. Dalili za kifo kama vile kutopumua , kuwa wa kijivu, mapigo ya moyo kusimama , kukakamaa , kuharibika/kuoza huanza kujitokeza
Inaposemekana mtu amekufa huwa tuna test maalum za kutambua iwapo shina la ubongo limekufa i.e brainstem death na hapo ndipo tunatoa tafsiri ya kifo na kuchunguza sababu za kifo hicho.. Kwa maelezo yako hapo hamna dalili yeyote ya kifo.. Hizo ni porojo na hisia tu..
Mkuu hapa mahala pako tu dadavulieHa ha ha hii nayo kali
maisha yanayosemewa baada ya kufa si ya kiroho?Ukifa wenzio twala,,, ukifa cell hai zote zinakuwa zmekufa na ndo maana unaoza kauli za kuna maisha baada ya kufa ni kauli walizokuwa wanatumia watu wazaman kujifariji
Hapa nashusha thread namtafuta yeye [emoji3][emoji3]Kiranga yuko wapi, natamani kuona reaction yake kuhusu hili
mtihani !!I do believe kuna maisha mengine ya binadamu kwenye ulimwengu mwingine tofauti na huu mwili. Kitu ka hicho kiliwahi kunitokea kujiona Niko kwenye ilimwengu mwingine na mwili mpya kabisa na nilikua najiona mwepesi na tofauti na ile hali ilinivutia na kunifurahisha kiasi nilikua na watu wengine nafurahia nakushangaa, nikawa nagoma kurudi kwenye hali ya umwili maana nilinogewa then wale watu kuna jinsi walinipiga mgongoni nikarudi hali ya kawaida. So I do believe kuna maisha mengine tofauti na haya tuyaishiyo kwenye ulimwengu huu wa kibinadamu
Dada hebu nipe siri ya kufika huko. Ilikuwa je hadi ukafikia hali hiyo?I do believe kuna maisha mengine ya binadamu kwenye ulimwengu mwingine tofauti na huu mwili. Kitu ka hicho kiliwahi kunitokea kujiona Niko kwenye ilimwengu mwingine na mwili mpya kabisa na nilikua najiona mwepesi na tofauti na ile hali ilinivutia na kunifurahisha kiasi nilikua na watu wengine nafurahia nakushangaa, nikawa nagoma kurudi kwenye hali ya umwili maana nilinogewa then wale watu kuna jinsi walinipiga mgongoni nikarudi hali ya kawaida. So I do believe kuna maisha mengine tofauti na haya tuyaishiyo kwenye ulimwengu huu wa kibinadamu
duhaulizwe panya road swali hili