Ni kweli kuwa kuna maisha mengine baada ya kifo, ispokuwa yanagawanyika upande mmoja ni mahala pema na upande mwingine ni mateso. Kwa mujibu wa mhubiri mkuu William Marrion Branham mtu anapoondoka ktk mwili huu akiwa ametimiza masharti ya Mungu kikamilifu upata mwili mwingine ambao huitwa theophan kumsaidia mtu kuishi ktk hali iyo isiyotegemea hisi tano za mwili wa damu na nyama. Katika hali hii mtu upata amani na pumziko asitake kurudi. Anafananisha mwili huu na ule mwili aliokuwa nao Yesu baada ya kufufuka ambao ulikuwa na uwezo wa kupita kokote bila kizuizi na kutembea miles kama upepo. Ispokuwa kwa yeyote hasiye timiza masharti ya Mungu kikamilifu yy hapati theophany nafsi yake huangaika bila kupata pumziko hvyo hukosa amani na kuteseka sana. Na mtu uyu anapokuwa ktk hali ya kufa uangaika sana maana anaona mateso anayoyaendea ugoma lakin inakuwa haiwezekani tena. Hivyo kuna maisha mengine baada ya kufa