komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sheria ya tanzania...mkimuua mtanzania popote pale mtachakazwa...
Duniani kote utaratibu ni kwamba ukikamata "live birds" sheria ni kuwateketeza sio kuwarudisha. Ujinga wenu wa kutojua na kufuata sheria za kimataifa, ndio zilizowafanya muwekwe katika kundi la "failed states". Kenya hakuna sheria yoyote inayofuatwa, vinavyoongoza nchi ni Rushwa na Ukabila tu.