Utafiti; Wakenya wengi wamekata tamaa ya maisha

Sheria ya tanzania...mkimuua mtanzania popote pale mtachakazwa...
 
Hehehe ya Kenya mnajua sana lakini ya kwenyu mnajifanya hamyaoni.
 
Hehehe

 
Kwa East Africa hakuna watu goi goi kama nyie Watanzania
 
Tanzania na sisi ndio tunanukia huko huko.
Tunafaa kutia nywele zetu maji.
 
Ya Tanzania ni tukia while ya Kenya is urafiti, so which is one is real between the two.
Soma link niliyoweka, " Title" imeanza na neno "utafiti". Unakumbuka mchana nilikupuuza kutokana na tabia yako ya kukurupuka kujibu au kuuliza kitu bila kujipa muda wa kufahamu jambo unalolizungumza?.

Hujasoma huu Uzi inazungumzia nini, wewe unakurupuka kuweka comments, au hujui maana ya neno utafiti?.
 
Ugumu wa maisha...khaa!!!mbna tubakaririshwa hapa km maisha kwao ni mazuri...duh!!kwel leo nimeamini ile link ya tz kuwa kwenye denial
Kama kawaida yako, kichwani hamna kitu. Unajua maana ya utafiti na tukio?
 
Ni kweli, hakuna kilichojificha hapo, na population ya watu inavozid kuwa juu ndio tatizo maana mahitaji hayajitoshelezi.
Ugumu wa maisha...khaa!!!mbna tubakaririshwa hapa km maisha kwao ni mazuri...duh!!kwel leo nimeamini ile link ya tz kuwa kwenye denial
 
Those your stories I don't I want to hear, all I know is that we we hupendi ukweli.
 
Those your stories I don't I want to hear, all I know is that we we hupendi ukweli.
Uwe unasoma Uzi unazungumza nini kabla ya kujibu kama unataka kuwepo na discussion ya maana. Mimi nimeweka link ya utafiti uliofanyika huko Kenya, wewe unaniwekea screenshot ya mtu aliydjinyonga. Kweli kwa akili yako unataka tulinganishe matokeo ya utafiti na tukio la mtu mmoja kujinyonga?, na huo ndio unaoita ni ukweli. Unless uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana.
 
[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…