Ni kweli, hakuna kilichojificha hapo, na population ya watu inavozid kuwa juu ndio tatizo maana mahitaji hayajitoshelezi.
Uwe unasoma Uzi unazungumza nini kabla ya kujibu kama unataka kuwepo na discussion ya maana. Mimi nimeweka link ya utafiti uliofanyika huko Kenya, wewe unaniwekea screenshot ya mtu aliydjinyonga. Kweli kwa akili yako unataka tulinganishe matokeo ya utafiti na tukio la mtu mmoja kujinyonga?, na huo ndio unaoita ni ukweli. Unless uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana.
WaTzed wengi wamekata tamaa ya maisha ,ukosefu wa kazi ,umaskini na gharama ya maisha imepanda juu sana .Hali hii imesababisha WaTzed wengi kugeukia uchawi na kuwachinja albinos wengi ili kupata utajiri .Wengi pia wamehamia Kenya kuuza mali ndogo ndogo na kufanya omba omba mtaani.Kenya on the wrong path? |The Big Story
Get the latest news,entertainment and sports news from Kenyawww.standardmedia.co.ke
Wakenya wengi wamekata tamaa ya maisha kutokatana na gharama za maisha kuwa juu nchini mwao, rushwa na ukosefu wa ajira. Matokeo ya utafiti huu yanaendana na utafiti mwingine ulioonyesha kwamba, wakenya wengi hawapendi kuishi nchini mwao na wanapenda kutoroka na kuishi nchi za nje.
Hali hii ya wakenya kukata tamaa ya maisha na kuwaza kutoroka, imesababisha mkenya mmoja Jana kujificha katika eneo la gurudumu la ndege ya KQ ili aweze kutoroka Kenya, bahati mbaya amefariki kabla ya kutimiza lengo lake.
Hahahaha, kwisha habari yenu, mumebaki kupiga domo tupu. " No research, No right to speak". Uhuru kesho anakuja kupiga magoti ili aongezewe chakula msiendelee kufa njaa.WaTzed wengi wamekata tamaa ya maisha ,ukosefu wa kazi ,umaskini na gharama ya maisha imepanda juu sana .Hali hii imesababisha WaTzed wengi kugeukia uchawi na kuwachinja albinos wengi ili kupata utajiri .Wengi pia wamehamia Kenya kuuza mali ndogo ndogo na kufanya omba omba mtaani.
Hilo ni swali nzuri.
Sisi kama wakenya hatukuelewa huo msimamo wa serikali yenu kuchoma vifaranga vyetu kwa sababu ya “virusi” nyinyi mngeturudishia vifaranga sisi tuendelee na shughuli zetu sasa kutuchomea ilisababisha wafanyibiashara waone hii serikali ya JPM iko na kasoro na hiyo kasoro ni hamaapendi wakenya na hamtaki afrika mashariki iendelee kusonga mbele. na wakumbuka ile time mlichukua ngombe wetu mkawashika wakenya wamasai na mkawatia rumande? Wakenya hatukuridhishwa na jambo hilo na namwelewa JPM ywafaa kulimda maslahi ya watu wake lakini zile vitu anazozifanya are in bade faith.
Na wacha nikuulize swali, katika afrika mashariki mbona watanzania hamtaki sisi sote tufanye trade, biashara na kazi pamoja? Kila masaa unaskia waganda na wakenya mara warwanda na waburundi wamefurushwa kwa sababu ya reasons zisizojulikana. Na je kama marehemu Nyerere angekuwa hai wadhani angeridhishwa na vile mnavyowafanyia wenzenu na vile tanzania haijihusishi sana na maswala ya EAC kama zamani?
Lengo la maswali yangu ni kutaka tutafute tatizo lipo wapi Kati ya Kenya na Tanzania katika uchomaji wa vifaranga, na wale Ng'ombe.