Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. ππππππ
Hawa hawa tuliomo mtaani ndio tumo humu ila sasa humu tunajiweka kijanja sana,matawi mno wakati mtaan wa kawaida.
Ooooh.Hapo makosa mnayo nyinyi watoto wa kike na baadhi yetu sisi wanaume tusio fikiri kiundani.
Navy amini mimi ni kuwa watoto wa kike wa jamii forum ndio hawa hawa wa kitaa.
Nimegundua revolution ya wadada kuanza kuweka picha zao halisi nusunusu za sehemu ya miili yao.Mimi nimegundua sisi wakiumeni tunaongoza kwa kuomba kuwekewa picha kuliko wale wenzetu wa upande wa pili,wewe Je?
Hili hata mm nimeliona MkuuNimegundua revolution ya wadada kuanza kuweka picha zao halisi nusunusu za sehemu ya miili yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteHili hata mm nimeliona Mkuu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Kuna ujumbe nadhani tunafikishiwaAsante
Kabisa, sema sikutaka kuchambua saaana... [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kuna ujumbe nadhani tunafikishiwa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hili hata mm nimeliona Mkuu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Na nyie muwekage sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimegundua revolution ya wadada kuanza kuweka picha zao halisi nusunusu za sehemu ya miili yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh. Mtaniii.Kuna ujumbe nadhani tunafikishiwa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Jamani jamani... Hii ni tafiti tuu [emoji4]Na nyie muwekage sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabisa, sema sikutaka kuchambua saaana... [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wacha tu observe
Hahaha, mtani banaNa nyie muwekage sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaaa. Si ili muunogeshe sasa huo utafiti.Jamani jamani... Hii ni tafiti tuu [emoji4]