Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. ๐๐๐๐๐๐
Hapo makosa mnayo nyinyi watoto wa kike na baadhi yetu sisi wanaume tusio fikiri kiundani.
Navy amini mimi ni kuwa watoto wa kike wa jamii forum ndio hawa hawa wa kitaa.