Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Najiuliza na kuzurura kote mjini sjawah hata kwa bahati mbaya kuwafuma. Nyinyi ni akina nani? [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa. Ndio hapo sasa na hii ndio chachu inayofanya mtufikirie kuwa sisi ni wanawake wa kipekeee.

Ila umeniwazisha ujue rafiki mie pia kuzunguka kwangu kote sijawahi gongana na Me anaperuzi jf aiseeee. Sa sijui tunajifungiaga wapi saa ya kuperuzi jf yetu. [emoji23]

Japokuwa mie naonaga nyie ni wanaume kama hawa wa huku kitaa.
 
Hata nyie hivyo hivyo ila kuna kauniqueness flan ivi rafiki. Mnakuwa tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada za Magonjwa hususan UKIMWI ..watu wanazikimbia sana.

Mada za ngono watu wanazipenda sana.

Mada serious za maisha, kuelimishana ukweli najuu ya kufanikiwa watu hawazipendi nahii inaonyesha wengi walioko humu bado niwatafutaji.

Mada za Mwanaume kutafuta mwanamke, husomwa sana na Wanaume (utadhan wao ndo wanaolewa)...huku mada za mwanamke kutafuta mwanaume husomwa na wanaume sanaaaa nawanawake wachache ambao nao......

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
nilichogundua jf namwachia mungu tuu mana sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…