leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Dah...nakujuza....kama hujui...ME wote JF Wana ndiga si za kitoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaaa. Wabadilike kwa kweli.
Sisi ndio hao hao tunaogombania nao daladala na kupita madirishani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Nimecheka kwa nilichokiandika sababu sijui kama na Me wa jf wanagombaniaga usafiri. [emoji85][emoji85][emoji85]
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]