Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha, ngoja siku nikuone ukiniletea zaga zaga zangu ,uje kunianzishia Uzi[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha, ngoja siku nikuone ukiniletea zaga zaga zangu ,uje kunianzishia Uzi[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, umesema kweli.Nimegundua binadamu ni binadamu umjue usimjue lazima ana feeling ya kuwa belonging somewhere or to some people. Ndiyo maana akiharibu mambo kwa id fulani ataiacha na kuja na id nyingine. Ili aendelee kuwa na same level of belonging....
At last everyone has reputation to protect humu am sure even the JF gods ( mods) have theirs
Unacheka mtani, tutakutana taifa siku moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila nikiona hiyo ID yakk nacheka sana,UKISOMA NYUZI ZA MAHUSIANO SANA AISEE UNAWEZA USIOE
MKUU NILITENDWA NA MSICHANA NILIYEMPENDA(KWA UFUPI)Kila nikiona hiyo ID yakk nacheka sana,
Sijui ulifukiria nini kuifanya hiyo sentesi kuwa ID humu,
Na pia huo msemo umeutoa wap?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMKUU NILITENDWA NA MSICHANA NILIYEMPENDA(KWA UFUPI)
hahaaaa
hahaaa bangi hizi '' kweli lakiniNini usafiri hata masufuria ya wali wenye ukoko wanagombania pia,maisha haya
hahaaa ni ndugu Au ""?Nimegundua mahusiano ya mods mmoja na memba mmoja humu ndani
a e i o u
kila mtu humu anajinadi maisha yake ni mazuri" lakini ajabu ukianzishwa uzi wakuwataka watumishi wa serikali waongezewe mishahara"" basii unakutana na watu kibao wanaolalamika kuwa serikali imewasusa " wakati wanahali ngumu " etcHawa hawa tuliomo mtaani ndio tumo humu ila sasa humu tunajiweka kijanja sana,matawi mno wakati mtaan wa kawaida.
hahaaaNi pale utakuta mtu anaisema vibaya tecno wakati mdo anatumia hahaha Jf shkamoo
Sent using Jamii Forums mobile app