Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
- Thread starter
-
- #181
Ngoja nisubirie hiyo part 2 ya utafiti
Mpaka nikitumbuliwa mkuu.Ngoja nisubirie hiyo part 2 ya utafiti
Mzee kumbe huu msemo ni wa siku nyingi eehYou are right... very right!
Nimekugongea like, kakague kama huamini.
Msemo upi mzee mkuu?Mzee kumbe huu msemo ni wa siku nyingi eeh
Bila shaka hao watakuwa vigeugeuDah.. Sasa kwa wale wenye id nyingi inakuwaje? Maana kuna watu wana id ya kukopea, kutongozea, kubishania na nyingine za kike mbili ambazo sijui kazi yake[emoji13] [emoji13]
Hahaha met kwaiyo avater yako; utakuwa kisu kweli kweli and I hope so.Aah wapi
Aah wapi
HapanaHahaha met kwaiyo avater yako; utakuwa kisu kweli kweli and I hope so.
Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?
Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.
Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Nimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu.
Kiukweli avatar wanazopendelea kuweka zinafana sana na maisha yao halisi au vile walivyo nk. Au kwa lugha nyingine zinatoa preliminary background ya jinsi walivyo. Ukiona member kaweka avatar ya mrembo mkali, asee ni mrembo kweli si mchezo. Ukiona member kaweka picha la jamaa lina hasira, basi ujue yuko hivyo. Ukiona jamaa kaweka picha ya ya kiroho-mbaya ujue anakaribiana na sifa hiyo. Ukiona kaweka avatar ya kituko fulani hivi, naye ni kituko. Kadhalika na wenye avatar za ki hekima hekima, ni kweli kabisa wapo hivyo. Walioweka picha za wanyama, relatively wana maamuzi na matendo kama ya wanyama. Na wale wasioweka picha means they don't care, na kweli wenyewe wako laissez-faire tu.
Huu utafiti unatoa mwangaza mpya wa aina ya wana JF unaopanga ima kukutana nao au unapochat nao kuwajua japo kwa uchache tabia na mwonekano wao (imaginary). Awamu ya pili ya utafiti huu inaendelea...
NB: sitaanika members niliokutana nao wala "derived instruments & indicators" for privacy.
Hahaha [emoji316][emoji28]Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?
Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.
Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Wewe kwa mujibu wa mtafiti wetu utakuwa mtoto wa kambo wa Muhammad Alli.