Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mdogo wangu ni wa kiume, maybe Honey Faith anaweza kukumiss.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe hata shoga yako...Mdogo wangu ni wa kiume, maybe Honey Faith anaweza kukumiss.
Kuna vizuri na vizuri bhana... vingine sumu atiiSi umesema kizuri mnakula wote.
Basi tena.Kuna vizuri na vizuri bhana... vingine sumu atii
Wee mchawi kabisa weweLabda kwa wengine kwangu utafiti umegoma kuunga nazi
Huu utafiti unatoa mwangaza mpya wa aina ya wana JF unaopanga ima kukutana nao au unapochat nao kuwajua japo kwa uchache tabia na mwonekano wao (imaginary). Awamu ya pili ya utafiti huu inaendelea...
Kuna kaukweli fulani hapaNimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu.
Kiukweli avatar wanazopendelea kuweka zinafana sana na maisha yao halisi au vile walivyo nk. Au kwa lugha nyingine zinatoa preliminary background ya jinsi walivyo. Ukiona member kaweka avatar ya mrembo mkali, asee ni mrembo kweli si mchezo. Ukiona member kaweka picha la jamaa lina hasira, basi ujue yuko hivyo. Ukiona jamaa kaweka picha ya ya kiroho-mbaya ujue anakaribiana na sifa hiyo. Ukiona kaweka avatar ya kituko fulani hivi, naye ni kituko. Kadhalika na wenye avatar za ki hekima hekima, ni kweli kabisa wapo hivyo. Walioweka picha za wanyama, relatively wana maamuzi na matendo kama ya wanyama. Na wale wasioweka picha means they don't care, na kweli wenyewe wako laissez-faire tu.
Huu utafiti unatoa mwangaza mpya wa aina ya wana JF unaopanga ima kukutana nao au unapochat nao kuwajua japo kwa uchache tabia na mwonekano wao (imaginary). Awamu ya pili ya utafiti huu inaendelea...
NB: sitaanika members niliokutana nao wala "derived instruments & indicators" for privacy.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heri ya mwaka mpya mtoto mwenzangu.
Ila wewe umezidi utundu ndio maana masikio yako yamekaa kama dishi la Azam TV.