Utafiti: Wana JF na Avatar zao

Utafiti: Wana JF na Avatar zao

mleta ulichoongea ni fanya kinyume chake!
rejea ule msemo "kizuri chajiuza kibaya chajitembeza"
 
Huu utafiti una ukweli mkubwa sana japo wapo ambao hawafanani na jina wala avatar zao narudia tena ni wachache wengi wetu ni uhalisia kabisa wa jinsi tulivo. Ovar
 
Mpaka muachiwe mfike huko ndio muonane mkuu au unategemea teuzi za jiwe?
Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?

Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.

Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
 
Kupitia avator yangu naona hujanijumuisha mkuu au nusubiri awamu ya pili?
Nimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu.

Kiukweli avatar wanazopendelea kuweka zinafana sana na maisha yao halisi au vile walivyo nk. Au kwa lugha nyingine zinatoa preliminary background ya jinsi walivyo. Ukiona member kaweka avatar ya mrembo mkali, asee ni mrembo kweli si mchezo. Ukiona member kaweka picha la jamaa lina hasira, basi ujue yuko hivyo. Ukiona jamaa kaweka picha ya ya kiroho-mbaya ujue anakaribiana na sifa hiyo. Ukiona kaweka avatar ya kituko fulani hivi, naye ni kituko. Kadhalika na wenye avatar za ki hekima hekima, ni kweli kabisa wapo hivyo. Walioweka picha za wanyama, relatively wana maamuzi na matendo kama ya wanyama. Na wale wasioweka picha means they don't care, na kweli wenyewe wako laissez-faire tu.

Huu utafiti unatoa mwangaza mpya wa aina ya wana JF unaopanga ima kukutana nao au unapochat nao kuwajua japo kwa uchache tabia na mwonekano wao (imaginary). Awamu ya pili ya utafiti huu inaendelea...

NB: sitaanika members niliokutana nao wala "derived instruments & indicators" for privacy.
 
Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?

Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.

Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Hahaha [emoji316][emoji28]
 
Back
Top Bottom