Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
- Thread starter
-
- #101
Kwahiyo umeona jinsi gani huu utafiti ulivyo karibu na ukweli eenh?ha
hh ahah ahaaaa,umenifanya nicheke tu,huwa natumia products za apple tu mkuu,kuanzia pc simu na ipad pia...period!
Ila kasinde bwana daa!unapenda ujana wakati umezeeka.Na huko tabora kwenu ni sehemu gn? Bachu,Ipuli,cheyo,mwinyi,Isevya,Kiloleni,Ng'ambo,Tumbi,ama????Hahahahaaa babuuuu mwaka mpya huu nimeokolewa bin kuvuliwa. Siku hizi niko mwisho wa reli ndo huko nshatua moyo hata kwetu Tabora tunakobeba mizigo mizito nimehama.
Mbona nipo humu? Wewe ndo huonekani mie nikajua pension imetoka basi umeandamwa na wajukuu hadi hupati nafasi ya kuingia humu.
Ila kasinde bwana daa!unapenda ujana wakati umezeeka.Na huko tabora kwenu ni sehemu gn? Bachu,Ipuli,cheyo,mwinyi,Isevya,Kiloleni,Ng'ambo,Tumbi,ama????
Eti kwa mfano wewe tutaamini avatar ipi sasa kama huu utafiti siyo uongo?I see..
Mkuu avatar yangu inaeleza kitu gani kuhusu mimi?Kwahiyo umeona jinsi gani huu utafiti ulivyo karibu na ukweli eenh?
Kasie nimeshindwa,vp yule alokubadilishia gari mara baada ya kukukwaruza huko road yupo?Subiri ufike umri wangu ndo useme haya.
Hujamaliza kuitaja Tabora yote endelea nikiona umepataja kwetu ntakwambia
I think, kuna mambo mengi ya kihisia au kisaikolojia au ushabiki yanayopelekea mtu kuweka avatar Fulani..Eti kwa mfano wewe tutaamini avatar ipi sasa kama huu utafiti siyo uongo?
Umeeleweka mkuu!I think, kuna mambo mengi ya kihisia au kisaikolojia au ushabiki yanayopelekea mtu kuweka avatar Fulani..
i.e unampenda mtu/kitu hicho na unapenda kua/kuishi kama yeye au kukipata kitu hicho au kuishi sehemu hiyo. Mwengine anapenda watoto basi ataweka pic ya mtoto, mwingine anapenda science basi utaona kaweka sayari fulani au pic ya DNA (yote hayo ni hisia)
Unaipenda brand/team/label flani na unaichukia ya upinzani wake (ushabiki)
Kwa upande wa kisaikolojia mleta mada kaizungumzia vzur
Kasie nimeshindwa,vp yule alokubadilishia gari mara baada ya kukukwaruza huko road yupo?
Itakuwa mkali wa ku-google, pia kuna interest hapo ya mambo geography, travelling, physics na ya anga.Mkuu avatar yangu inaeleza kitu gani kuhusu mimi?
Naona mwaka huu umenza kwa kasi na tafiti km za twaweza! Bla bla nyingiiiiNimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu.
Kiukweli avatar wanazopendelea kuweka zinafana sana na maisha yao halisi au vile walivyo nk. Au kwa lugha nyingine zinatoa preliminary background ya jinsi walivyo. Ukiona member kaweka avatar ya mrembo mkali, asee ni mrembo kweli si mchezo. Ukiona member kaweka picha la jamaa lina hasira, basi ujue yuko hivyo. Ukiona jamaa kaweka picha ya ya kiroho-mbaya ujue anakaribiana na sifa hiyo. Ukiona kaweka avatar ya kituko fulani hivi, naye ni kituko. Kadhalika na wenye avatar za ki hekima hekima, ni kweli kabisa wapo hivyo. Walioweka picha za wanyama, relatively wana maamuzi na matendo kama ya wanyama. Na wale wasioweka picha means they don't care, na kweli wenyewe wako laissez-faire tu.
Huu utafiti unatoa mwangaza mpya wa aina ya wana JF unaopanga ima kukutana nao au unapochat nao kuwajua japo kwa uchache tabia na mwonekano wao (imaginary). Awamu ya pili ya utafiti huu inaendelea...
NB: sitaanika members niliokutana nao wala "derived instruments & indicators" for privacy.
Naunga mkono huu utafiti kwa asilimia fulani una kaukweli.Babu Asprin umenichekesha sana lakini pia ulipotaja Mtakuja akili yangu ikaenda mbio kwa ile familia ya kufikirika ya Mr. and Mrs. Daud. Kwa hakika ile familia ilinihamasisha sana kusoma ikiwa pamoja na kuipenda lugha ya malkia. Japo sikuijua.
Babu Asprin, mi ni wa wakati wa 'original' "ninaye ndege mzuri mrembo wa kupendeza" (naskia siku hizi kuna remix kama kweli) "wengine mnawakanyaga", " heri mimi sijasema" tetemeko la ardhi, mkisi mmoja kavuka ziwa nyasa, heka heka mtoni. Enzi ambayo wanafunzi tulikuwa tukipenda elimu japo elimu haikutupenda (shule zilikuwa chache hivyo kufaulu sjui kuchaguliwa ilikuwa kimbembe). Tofauti na sasa hivi, elimu inawapenda wanafunzi lakini wenyewe hawaopendi elimu. Si zamani sana lakini kiasi kuitwa babu now.
Huu utafiti pamoja na mapungufu yake kadhaa, lakini naweza kusimama na kuutetea na hata kuthibitishwa na members.
Methodology na derived instruments zilizotumika katika utafiti huu mkuu ni unique na una percentage ndogo sana wa kuwa criticised. Shukran mkuu.Naunga mkono huu utafiti kwa asilimia fulani una kaukweli.
Ukichukulia maadili ya members na avatar zao, zinakupa picha ya mhusika halisi!!
Wengine kina Lizabon unaamua kuwapisha na misimamo yao ya kihafidhina!!
Hebu nambie....mimi ni mtu wa aina gani kwa mujibu wa avatar yangu?Methodology na derived instruments zilizotumika katika utafiti huu mkuu ni unique na una percentage ndogo sana wa kuwa criticised. Shukran mkuu.
Huyo dogo mwenyewe yuko serious, lakini smart means unapenda kuwa serious katika issue za msingi ndio maana ukampenda huyo mtoto aliye hivyo. Lakini vilevile unaamini kuwa ulipokuwa mtoto ulikuwa "smart" kwa ulinganifu wako. Utafiti unaonyesha kuwa watu wa namna hii wana maintain tabia zao hata ukubwani, smart boy/girl.Hebu nambie....mimi ni mtu wa aina gani kwa mujibu wa avatar yangu?
Jambo moja kuhusu mimi....napenda sana watoto.Huyo dogo mwenyewe yuko serious, lakini smart means unapenda kuwa serious katika issue za msingi ndio maana ukampenda huyo mtoto aliye hivyo. Lakini vilevile unaamini kuwa ulipokuwa mtoto ulikuwa "smart" kwa ulinganifu wako. Utafiti unaonyesha kuwa watu wa namna hii wana maintain tabia zao hata ukubwani, smart boy/girl.
Lakini pia picha ya mtoto si kwamba unapenda watoto, ila kuna wakati unaweza ku-behave kufanya masihara kama ya mtoto kwenye non critical issues.
Kwa hakika kwa set-up nilizotumia kuna tafsiri nyingi sana ila wacha niishie hapo isije kuonekana naingilia fani za mshana jr