Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?
Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.
Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Utafiti imeonyesha they are laissez-faire.Na ambae hajaweka kitu yani ni empty kichwani ni hivyo hivyo
Yani ilikuwa kesho niende The Guardian kupeleka tangazo la kupotea kwako. Kwanini unanifanyia hivi lakini?? Hivi haujui wewe ni sehemu ya pumzi yangu.Shkamoo babu Asipiro. Heri ya mwaka mpya.
si mtoto. unapenda watoto!Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?
Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.
Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Hahahaaaa lol... inawezekana ukawa umepatia kidogosi mtoto. unapenda watoto!
Yani ilikuwa kesho niende The Guardian kupeleka tangazo la kupotea kwako. Kwanini unanifanyia hivi lakini?? Hivi haujui wewe ni sehemu ya pumzi yangu.
Heri ya mwaka mpya kwako pia mpenzi wangu wa moyoni Kassie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] napenda sana hivyo viatuNa wewe ni kiatu tu utaishia kukanyagwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe utafiti wetu feki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] napenda sana hivyo viatu
Feki huo hakikaKumbe utafiti wetu feki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Msalimie kwanza naniliu, the nani nani sijui![emoji1]Nakubaliana na utafiti wako kwa 75%
Na nyongeza ID anayotumia mtu inaendana kwa kiasi kikubwa na maisha yake halisi au vile alivyo.
Nadhani hili suala la ID na Avatar lipo kisaikolojia zaidi.
The motherhood is within you!Yangu je. Ukipatia nakupa mji
Unamtaka?[emoji30]Interesting ~The Boss.
kaurudie tena utafiti wakoNimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu.
Kiukweli avatar wanazopendelea kuweka zinafana sana na maisha yao halisi au vile walivyo nk. Au kwa lugha nyingine zinatoa preliminary background ya jinsi walivyo. Ukiona member kaweka avatar ya mrembo mkali, asee ni mrembo kweli si mchezo. Ukiona member kaweka picha la jamaa lina hasira, basi ujue yuko hivyo. Ukiona jamaa kaweka picha ya ya kiroho-mbaya ujue anakaribiana na sifa hiyo. Ukiona kaweka avatar ya kituko fulani hivi, naye ni kituko. Kadhalika na wenye avatar za ki hekima hekima, ni kweli kabisa wapo hivyo. Walioweka picha za wanyama, relatively wana maamuzi na matendo kama ya wanyama. Na wale wasioweka picha means they don't care, na kweli wenyewe wako laissez-faire tu.
Huu utafiti unatoa mwangaza mpya wa aina ya wana JF unaopanga ima kukutana nao au unapochat nao kuwajua japo kwa uchache tabia na mwonekano wao (imaginary). Awamu ya pili ya utafiti huu inaendelea...
NB: sitaanika members niliokutana nao wala "derived instruments & indicators" for privacy.
Wee jamaa kweli haupendi Apple products wee? Kweli hauna iPhone+masifa kibao? Anyway, kama hauna ndio zile statisticali era zinazokubalika maana hakuna utafiti wa 100%.kaurudie tena utafiti wako
hh ahah ahaaaa,umenifanya nicheke tu,huwa natumia products za apple tu mkuu,kuanzia pc simu na ipad pia...period!Wee jamaa kweli haupendi Apple products wee? Kweli hauna iPhone+masifa kibao? Anyway, kama hauna ndio zile statisticali era zinazokubalika maana hakuna utafiti wa 100%.