Utafiti: Wana JF na Avatar zao

Utafiti: Wana JF na Avatar zao

Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?

Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.

Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.

Shkamoo babu Asipiro. Heri ya mwaka mpya.
 
Shkamoo babu Asipiro. Heri ya mwaka mpya.
Yani ilikuwa kesho niende The Guardian kupeleka tangazo la kupotea kwako. Kwanini unanifanyia hivi lakini?? Hivi haujui wewe ni sehemu ya pumzi yangu.

Heri ya mwaka mpya kwako pia mpenzi wangu wa moyoni Kassie.
 
Tanzania ya tafiti..... watu mmeona twaweza wanapata ujiko wa bure mmeamua kuingia kazini.



'Dunia Uwanja wa Fujo
 
Yani ilikuwa kesho niende The Guardian kupeleka tangazo la kupotea kwako. Kwanini unanifanyia hivi lakini?? Hivi haujui wewe ni sehemu ya pumzi yangu.

Heri ya mwaka mpya kwako pia mpenzi wangu wa moyoni Kassie.

Hahahahaaa babuuuu mwaka mpya huu nimeokolewa bin kuvuliwa. Siku hizi niko mwisho wa reli ndo huko nshatua moyo hata kwetu Tabora tunakobeba mizigo mizito nimehama.

Mbona nipo humu? Wewe ndo huonekani mie nikajua pension imetoka basi umeandamwa na wajukuu hadi hupati nafasi ya kuingia humu.
 
Na wewe ni kiatu tu utaishia kukanyagwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] napenda sana hivyo viatu
 
kuna mtu anaweza chukiwa kwa sababu ya avatar yake tu! utafiti juu ya utafiti
 
Nakubaliana na utafiti wako kwa 75%
Na nyongeza ID anayotumia mtu inaendana kwa kiasi kikubwa na maisha yake halisi au vile alivyo.
Nadhani hili suala la ID na Avatar lipo kisaikolojia zaidi.
Msalimie kwanza naniliu, the nani nani sijui![emoji1]
 
Nimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu.

Kiukweli avatar wanazopendelea kuweka zinafana sana na maisha yao halisi au vile walivyo nk. Au kwa lugha nyingine zinatoa preliminary background ya jinsi walivyo. Ukiona member kaweka avatar ya mrembo mkali, asee ni mrembo kweli si mchezo. Ukiona member kaweka picha la jamaa lina hasira, basi ujue yuko hivyo. Ukiona jamaa kaweka picha ya ya kiroho-mbaya ujue anakaribiana na sifa hiyo. Ukiona kaweka avatar ya kituko fulani hivi, naye ni kituko. Kadhalika na wenye avatar za ki hekima hekima, ni kweli kabisa wapo hivyo. Walioweka picha za wanyama, relatively wana maamuzi na matendo kama ya wanyama. Na wale wasioweka picha means they don't care, na kweli wenyewe wako laissez-faire tu.

Huu utafiti unatoa mwangaza mpya wa aina ya wana JF unaopanga ima kukutana nao au unapochat nao kuwajua japo kwa uchache tabia na mwonekano wao (imaginary). Awamu ya pili ya utafiti huu inaendelea...

NB: sitaanika members niliokutana nao wala "derived instruments & indicators" for privacy.
kaurudie tena utafiti wako
 
kaurudie tena utafiti wako
Wee jamaa kweli haupendi Apple products wee? Kweli hauna iPhone+masifa kibao? Anyway, kama hauna ndio zile statisticali era zinazokubalika maana hakuna utafiti wa 100%.
 
Back
Top Bottom