Utafiti: Wana JF na Avatar zao

Utafiti: Wana JF na Avatar zao

nyie watu mna utani m'baya sana!mnaswma id ya mtu inawakilisha uhalisia wake sasa kuna mwmber humu anajiita mtoto wa nzi so mnamaaniaha jamaa ni nzi kweli?
 
Dan zwangendaba kwaiyo na wewe bado uko dunia ile ile yako ya kale au unaishi na sisi
Ile ile ya kale. Enzi zetu tulikuwa viongozi hasa na watafutaji ndio maana tukatoka south hadi Tanganyika.
 
Labda kwa wengine kwangu utafiti umegoma kuunga nazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi kwetu ureno ndio maana nimetumia ID hii
 
Na kwako pia mzee mwenzangu. Jinsi ulivoamua kunitenga, mi nimemuachia Mungu.
We si ndio uko mwaka wa kwanza chuo, na laptop ndio mara ya kwanza kumiliki.
Vipi mkopo ulipata?

Shikamoo babu.
 
We si ndio uko mwaka wa kwanza chuo, na laptop ndio mara ya kwanza kumiliki.
Vipi mkopo ulipata?

Shikamoo babu.
Marahaba mjukuu mwema

Umepatia kuwa niko chuo mwaka wa kwanza... ila elimu ya watu wazima huwa haina mkopo...

Hako kalaputopu nliletewa na dada yako Honey Faith ... kanatumia solar hako. Kama na wewe unapenda baraka, basi nitumie kanakotumia makaa ya mawe... jua siku hizi halieleweki kama Faru John
 
Marahaba mjukuu mwema

Umepatia kuwa niko chuo mwaka wa kwanza... ila elimu ya watu wazima huwa haina mkopo...

Hako kalaputopu nliletewa na dada yako Honey Faith ... kanatumia solar hako. Kama na wewe unapenda baraka, basi nitumie kanakotumia makaa ya mawe... jua siku hizi halieleweki kama Faru John
Unajisikia rahaaa nikikuita babu wakati we dogo tu, acha fujo mdogo wangu.
 
Nimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu.

Kiukweli avatar wanazopendelea kuweka zinafana sana na maisha yao halisi au vile walivyo nk. Au kwa lugha nyingine zinatoa preliminary background ya jinsi walivyo. Ukiona member kaweka avatar ya mrembo mkali, asee ni mrembo kweli si mchezo. Ukiona member kaweka picha la jamaa lina hasira, basi ujue yuko hivyo. Ukiona jamaa kaweka picha ya ya kiroho-mbaya ujue anakaribiana na sifa hiyo. Ukiona kaweka avatar ya kituko fulani hivi, naye ni kituko. Kadhalika na wenye avatar za ki hekima hekima, ni kweli kabisa wapo hivyo. Walioweka picha za wanyama, relatively wana maamuzi na matendo kama ya wanyama. Na wale wasioweka picha means they don't care, na kweli wenyewe wako laissez-faire tu.

Huu utafiti unatoa mwangaza mpya wa aina ya wana JF unaopanga ima kukutana nao au unapochat nao kuwajua japo kwa uchache tabia na mwonekano wao (imaginary). Awamu ya pili ya utafiti huu inaendelea...

NB: sitaanika members niliokutana nao wala "derived instruments & indicators" for privacy.
Invetor yako haina picha kwa hiyo na wewe ndiyo uko hivyo.
 
Nakubaliana na utafiti wako kwa 75%
Na nyongeza ID anayotumia mtu inaendana kwa kiasi kikubwa na maisha yake halisi au vile alivyo.
Nadhani hili suala la ID na Avatar lipo kisaikolojia zaidi.
Kwa hiyo nifah ni bomba nitakutafuta
 
Unajisikia rahaaa nikikuita babu wakati we dogo tu, acha fujo mdogo wangu.
Ayaaaaa.... ulianza vizuri ukamalizia vibaya.

Uzuri bado una muda wa kujirekebisha na kutubu.
 
Back
Top Bottom