F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 May 26, 2022 #21 kwa wanaume wenye madeni je, nini kinaweza kuwasaidia?
P Pisila JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,799 Reaction score 3,196 May 26, 2022 #22 FUSO said: kwa wanaume wenye madeni je, nini kinaweza kuwasaidia? Click to expand... Kunywa Sumu tu
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 May 26, 2022 #23 ntazana ntazana said: Kunywa Sumu tu Click to expand... sitaki kufa kwa sababu ya deni, nataka dawa ya kuniliwaza nipunguze msongo!!
ntazana ntazana said: Kunywa Sumu tu Click to expand... sitaki kufa kwa sababu ya deni, nataka dawa ya kuniliwaza nipunguze msongo!!
P Pisila JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,799 Reaction score 3,196 May 26, 2022 #24 FUSO said: sitaki kufa kwa sababu ya deni, nataka dawa ya kuniliwaza nipunguze msongo!! Click to expand... Dawa ya deni kulipa au kufa chagua moja
FUSO said: sitaki kufa kwa sababu ya deni, nataka dawa ya kuniliwaza nipunguze msongo!! Click to expand... Dawa ya deni kulipa au kufa chagua moja
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 May 26, 2022 #25 FUSO said: kwa wanaume wenye madeni je, nini kinaweza kuwasaidia? Click to expand... Madeni huja na stress zenye pressure kali sana hususani ukiwa na mdeni mgomvi afu mlevi
FUSO said: kwa wanaume wenye madeni je, nini kinaweza kuwasaidia? Click to expand... Madeni huja na stress zenye pressure kali sana hususani ukiwa na mdeni mgomvi afu mlevi
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 May 26, 2022 #26 ntazana ntazana said: Dawa ya deni kulipa au kufa chagua moja Click to expand... tatizo nikipata hela roho inagoma kulipa, natumia kwa mambo mengine - afu nakopa kwingine tena.
ntazana ntazana said: Dawa ya deni kulipa au kufa chagua moja Click to expand... tatizo nikipata hela roho inagoma kulipa, natumia kwa mambo mengine - afu nakopa kwingine tena.