UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

Hizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
Miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Samia atatufanya tuwe kama Qatar
 
Hizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
 
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
Asante Rais Samia wa ushujaa wako na Mafisadi lazima yanune
 
Mm cjawah kumpenda mwanamke kwakwel .hata huyu japo nimemuoa ( bt cmchukii pia). Tuna deal na mambo ya mcng tuu..story nyngine hizo hatunaga kabisa from day 1. Only serious buznes
Aisee namuonea huruma mkeo.kuolewa na myu asie rafiki yako inataka moyo.
 
Shida kubwa unapopenda mara nyingi inakuwa ni kutoka ndani ya moyo wako (deepest part of your heart),kwahiyo unajikuta tu ni mkweli ili kulithibitisha lile penzi lako kuwa sio la uongo,na ukiona unaongea uongo au kuficha ficha vitu utajiona kuwa hauko huru na huyo mpenzi,utakuwa unajihisi hautendei haki penzi lako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…