Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Samia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Samia.
Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Samia.
Hizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.
Miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Samia atatufanya tuwe kama QatarHizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
Kama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera SamiaMiaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Samia atatufanya tuwe kama Qatar
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.Hizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
Asante Rais Samia wa ushujaa wako na Mafisadi lazima yanuneUtafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
Hongera Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa katiKama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera Samia
Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Samia.
Samia anafanya yaliyowashinda viongozi wengi sana wa AfricaSamia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa
Rais Samia anafanya vitu vikubwa sana ambavyo chadema na ACT ya Zitto kamwe wasingeweza kuvifanyaSamia anafanya yaliyowashinda viongozi wengi sana wa Africa
That's why Presdent Samia was declared hero of the worldRais Samia anafanya vitu vikubwa sana ambavyo chadema na ACT ya Zitto kamwe wasingeweza kuvifanya
Ni ngumu sana kukuta mke na muwe wote vimeo. Kati yao mmoja lazima tu atakuwa mstaarabu.
Samia Mungu amlinde kwa maana anagusa maisha ya watu wanyongeThat's why Presdent Samia was declared hero of the world
Aisee namuonea huruma mkeo.kuolewa na myu asie rafiki yako inataka moyo.Mm cjawah kumpenda mwanamke kwakwel .hata huyu japo nimemuoa ( bt cmchukii pia). Tuna deal na mambo ya mcng tuu..story nyngine hizo hatunaga kabisa from day 1. Only serious buznes
Samia ndio jembe mchapa kazi bora na huyu mama nitampa kura yangu 2025Samia Mungu amlinde kwa maana anagusa maisha ya watu wanyonge
CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Samia la sivyo wataishia kufa kisiasaSamia ndio jembe mchapa kazi bora na huyu mama nitampa kura yangu 2025
Rais Samia anafanya kazi kubwa saaaana huyu kipenzi chetuKama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera Samia
Shida kubwa unapopenda mara nyingi inakuwa ni kutoka ndani ya moyo wako (deepest part of your heart),kwahiyo unajikuta tu ni mkweli ili kulithibitisha lile penzi lako kuwa sio la uongo,na ukiona unaongea uongo au kuficha ficha vitu utajiona kuwa hauko huru na huyo mpenzi,utakuwa unajihisi hautendei haki penzi lako...Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania, hivi mnajua ya kwamba;
Utakachokuwa unamsimulia sweetheart wako siku za mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya na moto moto ndio maneno hayo hayo atakayokurushia kama silaha siku ya kwanza mtakapogombana?
Nimefanya utafiti huu kwa kuwauliza baadhi ya marafiki na watu wengine randomly kwa muda wa wiki kama mbili hivi.
Ndugu yangu wewe pia yaliwahi kukukuta kwa sweetheart wako?
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana kwa siku za mwanzoni. Hormones zinakuwa zipo juu and you find yourself deep in love kwa kiasi kwamba unajikuta upo free sana kusimulia udhaifu wako au wa ndugu zako wa karibu kama vile ulevi wa kaka yako, changamoto za ndoa ya dada yako au ubahili wa baba yako.
Mimi niliwahi kumsimulia sweetheart wangu wa zamani kuhusiana na tabia yangu ya uchoyo wakati nipo form 4 mwaka 2003. Zamani mimi nilikuwaga mchoyo sana wa vitu vyangu.
Hii haimaanishi kuwa hivi sasa sio mchoyo. hapana. Mimi bado nina elements za uchoyo uchoyo kwa mbaaaaali lakini nilipokuwa secondary nilikuwa mchoyo zaidi ya hivi sasa.
Niliwahi kumsimulia huyo dada my love jinsi nilivyoficha mishikaki ya nyama katika kabati langu la nguo ili tu ndugu zangu wasiniombe kwa kuwa siku ile pale home walikuwa wamepita ugali na mboga nisiyoipenda kabisa. Kwa bahati mbaya zaidi na mimi nikaja kusahau kama nilifinya nyama katika kabati la nguo na matokeo yake panya wakaja wakala zile nyama pamoja na nguo zangu nzuri.
Siku moja nikiwa nipo job mwaka juzi wa 2018 alinitumia SMS akiniomba pesa kiasi cha 70,000/= kwa ajili ya masuala kadhaa ya maandalizi ya sikukuu ya X-mas, na mimi kwa wakati ule nilikuwa ndio kwanza nimeanza kazi, mshahara wenyewe kidogo, basi ikabidi niwe mkweli tu nimwambie my love kwamba kwa sasa Soldier yupo vibaya sana financially.
Aisee yule dada si akaanza kuniporomoshea lawama kwamba mimi ni m-bahili na mchoyo na ikitokea nikamuoa basi ninaweza hata kumuua kwa njaa humo ndani kama ambavyo niliwafichia ndugu zangu nyama siku ile plus maneno mengine meeeeeengi si unajua tena hawa akina mama wanavyojua kuongea.
Ushauri wangu wa siku ya leo kwa vijana ni kwamba, unapoingia katika uhusiano kwa siku za mwanzoni jitahidi sana usimwambie sweetheart wako kila udhaifu wako au ule wa ndugu zako hata kama upo "deep in love" kwa kiasi gani na unapoachana na mpenzi wako kamwe usitangaze udhaifu wake uliopata kuujua pindi ukiwa katika uhusiano naye na hiyo itakufanya kuwa mwanamke/mwanaume wa kweli (a real gentleman).
Sio mtu ulikuwa katika uhusiano na mwanamke kisha ukagundua labda ana udhaifu wa ******** basi ikitokea mmeachana na wewe ndio unatumia udhaifu wake ule kama silaha ya kuanza kumtangaza kwa watu. Please don't do that. Man up brother.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.