UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

Ndio inavyokuwaga mkuu. Wahenga walisemaga mapenzi upofu.
 
Zaid ya Mara 4. Wanaume tunajisahau sana kipind tunafuraha na cwrthrt zetu.Unajikuta unaongea yasiyoongeleka ,siku mkigombana anakumbushia..unajikuta unajilaumu na kuwa na hasira ila hamna cha kufanya.
Mimi hapana ila nakumbuka X wangu nilimwambia atakuja olewa na libabu tena ligane kutokana na alichobitendea.....

Bana bana si akaolewa na jamaa wanawaiita ma handsameboy zaidi yangu.... Akanipigia simu kunishushua et Lana yangu haijafanya kazi🤣🤣🤣
 
Hahahahaaa daah huyo manzi ni noma sana
 
CHADEMA kumpinga Samia ni kujidhalilisha tu kwa maana amefanya kazi kubwa huyu mama yetu.
Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Samia Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
 
Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Samia Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…