Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #161
Ndio inavyokuwaga mkuu. Wahenga walisemaga mapenzi upofu.Shida kubwa unapopenda mara nyingi inakuwa ni kutoka ndani ya moyo wako (deepest part of your heart),kwahiyo unajikuta tu ni mkweli ili kulithibitisha lile penzi lako kuwa sio la uongo,na ukiona unaongea uongo au kuficha ficha vitu utajiona kuwa hauko huru na huyo mpenzi,utakuwa unajihisi hautendei haki penzi lako...