Utafiti wangu

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie.


Sina uwakika kama kila mtu hana kazi sijui aisee yaani kuna mtu kweli anawategemea kwa kila kitu kweli tuambizane .

Kwangu sina mtu ambaye namtegemea humu hadi tuonekane wacheap hivyo mie imenikera sana sio siri.è
 
Tatizo kuomba kumezidi jamani
 
Nimekutana na matukio kama hayo matukio hayo mara nyingi yaani mtu anakuona kama hoe,Sina shida ndogondogo kiukweli wananikwaza na Huwa nawafurahisha wakati mwingine.
Mf. 1 anatoa simu yake umpe namba anaweka na Hela juu kwangu it's big NO.
Mf. 2 ninapokula lunch navuka barabara kwenda next side it's a walking distance Kuna siku Alphard ikasimama Kuna jamaa mmoja anaendesha mwingine yupo Siti ya abiria, yule wa Siti ya abiria akashuka ananiambia Mimi panda na mwingine anachangia yaani walinikwaza do they think am cheap to that extent.

Hiyo ni kdg Tu ninamengi ya kuhadithia.

Wengine sio cheap hivyo, baadhi yetu wapo kwa ajili yenu ambao mtaenda nao kwa pigo hizo.
 
Asiee wee utakuwa mwanamke mzuri sana yaani jamaa imebidi wasimamiahe gari
 
Ni kweli kabisa huongei uongo
 
Punguzeni vizinga dada zangu

Unajua kadiri unavyoomba omba pesa ndivyo mwanamume anakuchukulia kama malaya

Anakupelekea moto kisha anasepa

Unabaki kusema ameishia kukuchezea unasahau kumbe na wewe umechezea sana pesa zake
Mtu hadi ukwame ndio useme ila sijui kwa wengine naunakuta ni mara moja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…