Utafiti wangu

Utafiti wangu

Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie.


Sina uwakika kama kila mtu hana kazi sijui aisee yaani kuna mtu kweli anawategemea kwa kila kitu kweli tuambizane .

Kwangu sina mtu ambaye namtegemea humu hadi tuonekane wacheap hivyo mie imenikera sana sio siri.è
Oooh...masikini!Nani huyo tena anakuchokoza?
 
Kumbe na wewe ni omba omba aisee , nikajua unakemea tabia za wenzako kumbe na wewe ni wale wale , ndio kupimana kila siku iendayo kwa mungu,
Acheni hizo tabia la sivyo mtaendelea kuinekana Malaya tuu
Miki sinahizo tabia mbaya
 
Back
Top Bottom