Utafiti wangu

Utafiti wangu

Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie.

Sina uwakika kama kila mtu hana kazi sijui aisee yaani kuna mtu kweli anawategemea kwa kila kitu kweli tuambizane .

Kwangu sina mtu ambaye namtegemea humu hadi tuonekane wacheap hivyo mie imenikera sana sio siri.è
Oh okay, cool down, endelea na Maisha yako, wewe ndio unajua ukweli na you don't have to justify anything to anyone.
 
Nimekutana na matukio kama hayo matukio hayo mara nyingi yaani mtu anakuona kama hoe,Sina shida ndogondogo kiukweli wananikwaza na Huwa nawafurahisha wakati mwingine.
Mf. 1 anatoa simu yake umpe namba anaweka na Hela juu kwangu it's big NO.
Mf. 2 ninapokula lunch navuka barabara kwenda next side it's a walking distance Kuna siku Alphard ikasimama Kuna jamaa mmoja anaendesha mwingine yupo Siti ya abiria, yule wa Siti ya abiria akashuka ananiambia Mimi panda na mwingine anachangia yaani walinikwaza do they think am cheap to that extent.

Hiyo ni kdg Tu ninamengi ya kuhadithia.

Wengine sio cheap hivyo, baadhi yetu wapo kwa ajili yenu ambao mtaenda nao kwa pigo hizo.
Utakuwa na shape inayovutia mkuu, siku moja tumekaa na jamaa yangu sehemu inaitwa six kule madale, akapita binti mmoja kweli alikuwa mrembo wa kutizama, wote tulimtizama, akawa anapita mtu yupo kwa Noah/alphard (sikumbuki vizuri), uzalendo ulimshinda mwamba kasimamisha ndinga nadhani alijaribu kumshawishi bidada apande ila ushawishi ulimshinda. Yule binti alikataa, so wakati mwingine ni urembo, shape na aina ya mavazi mnayotupia yanatushawishi tunashindwa kuvumilia.
 
Mambo ni moto aseeeh,

Lakini kwanini ikuume mtu kukudhania ambavyo wewe unaamini sivyo?, Kama wewe unaamini sio malaya, basi prove him wrong na ajione kakosea na maisha yaende. Ukishindwa kufanya hivyo basi wewe ni malaya au umejiweka ki-malaya.
 
Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie.

Sina uwakika kama kila mtu hana kazi sijui aisee yaani kuna mtu kweli anawategemea kwa kila kitu kweli tuambizane .

Kwangu sina mtu ambaye namtegemea humu hadi tuonekane wacheap hivyo mie imenikera sana sio siri.è
My Flower sio wote wapo wanawake wanaendekeza njaa hata kama wewe ungekuwe me ungesema hakika sio wote.
 
Nimekutana na matukio kama hayo matukio hayo mara nyingi yaani mtu anakuona kama hoe,Sina shida ndogondogo kiukweli wananikwaza na Huwa nawafurahisha wakati mwingine.
Mf. 1 anatoa simu yake umpe namba anaweka na Hela juu kwangu it's big NO.
Mf. 2 ninapokula lunch navuka barabara kwenda next side it's a walking distance Kuna siku Alphard ikasimama Kuna jamaa mmoja anaendesha mwingine yupo Siti ya abiria, yule wa Siti ya abiria akashuka ananiambia Mimi panda na mwingine anachangia yaani walinikwaza do they think am cheap to that extent.

Hiyo ni kdg Tu ninamengi ya kuhadithia.

Wengine sio cheap hivyo, baadhi yetu wapo kwa ajili yenu ambao mtaenda nao kwa pigo hizo.
My dia mpo mnaojishimu na hamuendekezi njaa ila wapo wanaoharibu hiyo image ya ki a dada na mama zetu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo ya mzabzab

Hii ni nzuri mambo hayawi mengi. Maana zile za kutuma na ya kutolea wana wanachunwa sana halafu mbususu wanapewa kwa taabu na sio kwa wakati.
Ukiwa nice guy,
Afu ukawekwa friend zone
Mbususu Unaweza usipewe kabisa[emoji4]
 
Back
Top Bottom