Mnyama ndani ya pori la CCMWale wanyama pori wewe mnyama pori?
Watu kuamka asubuhi kwenda kwenye shughuli mbalimbali ambazo husabibisha mwili kuchafuka iwe kwa jasho au vumbi au chochote hivyo kufanya mtu awe mchafu
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya usafi imegundulika kuwa Watanzania wengi huenda kulala usiku bila kuoga wanaenda na uchafu hivyo hivyo
Wachache huosha tu miguu kabla ya kulala lakini walio wengi huingia kulala na uchafu wa siku nzima
Tabia hiyo sio nzuri