Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shime Watanzania tuhimizane kuoga kabla ya kwenda kulala usiku mtu usipooga usingizi waweza kuwa shida kupata lakini pia mishuka unaijaja uchafu mbaya na sababu mwili uko tired haujawa refreshed na maji waweza kuwa unaota sijui unakimbizwa na dubwana au dudu usiku pia asubuhi mwili ukiamka waweza kuta mwili mchovu utafikiri unaumwa corona kumbe tatizo hukuoga kabla ya kulala.View attachment 1695032
Niacheni nilale, fainali uzeeni.
Akikujibu nitag 🤣Mkuu hiyo taasisi ya usafi inaitwaje na tafiti ilifanya wapi na wapi? Au kupitia bongo movie kama sisi tunavyojiaminisha baadhi ya mambo ulaya kupitia movie zao.