Enzi hizo michuzi blog ndio unapita habari zote.
Nakumbuka nilikuwa naenda cyber cafe kuchek mastori gangamix. Hatari mkuu
huezi animi jf nilikuwa guest vistor hadi 2015. Kila nikijaribu kujiunga inagoma. Nikawa napita tu nasoma.Michuzi ilikuwa njema, JF ilikuja kutake over kwa spidi kali sana.
Na Michuzi alikuja akapata kazi Ikulu akabaki ni tawi la CCM.
huezi animi jf nilikuwa guest vistor hadi 2015. Kila nikijaribu kujiunga inagoma. Nikawa napita tu nasoma.
Ulimbukeni tu inakusumbua!!! Ni nini unachoenjoy na iphone yako na mtumiaji wa Tecno smartphone akashindwa??!!Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti.
Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za kawaida (muziki) kama miito ya simu zao, nyimbo za bongo fleva, reggae, nyimbo za kiingereza iwe rap n.k, wanabadilisha mara kwa mara leo harmonize, kesho sijui Harmorapa, mara Beyonce n.k
Hii ni tofauti sana na watumiaji wa brands zingine kama Iphone, Samsung, Oppo , Xiaomi na wengineo. Watumiaji wa kampuni hizi zingine hutumia mtetemo(vibrations) na ringtones zinazokuja na simu moja kwa moja.
Kwa udadisi wangu nimebaini watu hawa hufanya hivyo ili kuvuta attention ya watu wengine ili ionekane na wao wanamiliki simu janja (smartphone).
Wengine ni wale wanaotoka up country hivyo wakiingia mjini hutaka kila mtu ajue kwamba na wao wamenunua au wanamiliki simu janja.
Tabia ya watu hawa hufanana na watumiaji wa infinix phones usibishe fuatilia tu
Good morning all[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya ndo ukutane na masai kaweka wimbo wa kilugha ndo utakomakaweka
Huwez fananisha huawei na uchafu wowote wa tecno. Huawei ni brand sawa na iPhone na Samsung.Huawei na tecno iko dugu moja
Huawei ni brand dogo.
Ahahaha...Kwani kuna mtu anateseka? Nipo na Teco WX4 yangu hapa nakula maisha tu.
Barafu la moto
Mkuu tupo sawa kwenye hilidaah huwa cpendelei kabisa kuweka nyimbo kam muito huwa napenda vibration tu pia cpendelei kabisa kuwek picha yang km walpaper iwe ni kweny cm au pc cjui npoje
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]