Utafiti: Watumiaji wa simu za Tekno huweka nyimbo za kawaida kama miito ya simu zao

Utafiti: Watumiaji wa simu za Tekno huweka nyimbo za kawaida kama miito ya simu zao

Enzi hizo michuzi blog ndio unapita habari zote.
Nakumbuka nilikuwa naenda cyber cafe kuchek mastori gangamix. Hatari mkuu

Michuzi ilikuwa njema, JF ilikuja kutake over kwa spidi kali sana.

Na Michuzi alikuja akapata kazi Ikulu akabaki ni tawi la CCM.
 
Umenena vyema kabisa,simu yangu always ni vibration tu..swaafi kabisa.
 
Michuzi ilikuwa njema, JF ilikuja kutake over kwa spidi kali sana.

Na Michuzi alikuja akapata kazi Ikulu akabaki ni tawi la CCM.
huezi animi jf nilikuwa guest vistor hadi 2015. Kila nikijaribu kujiunga inagoma. Nikawa napita tu nasoma.
 
huezi animi jf nilikuwa guest vistor hadi 2015. Kila nikijaribu kujiunga inagoma. Nikawa napita tu nasoma.

JF ilibamba sana kipindi cha Zitto Kabwe na sakata la Buzwagi nadhani, waziri Karamagi kusign mkataba hotelini.

And then uchaguzi 2010 Dr Slaa vs Kikwete, ikaja Richmond.
 
Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti.

Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za kawaida (muziki) kama miito ya simu zao, nyimbo za bongo fleva, reggae, nyimbo za kiingereza iwe rap n.k, wanabadilisha mara kwa mara leo harmonize, kesho sijui Harmorapa, mara Beyonce n.k

Hii ni tofauti sana na watumiaji wa brands zingine kama Iphone, Samsung, Oppo , Xiaomi na wengineo. Watumiaji wa kampuni hizi zingine hutumia mtetemo(vibrations) na ringtones zinazokuja na simu moja kwa moja.

Kwa udadisi wangu nimebaini watu hawa hufanya hivyo ili kuvuta attention ya watu wengine ili ionekane na wao wanamiliki simu janja (smartphone).
Wengine ni wale wanaotoka up country hivyo wakiingia mjini hutaka kila mtu ajue kwamba na wao wamenunua au wanamiliki simu janja.

Tabia ya watu hawa hufanana na watumiaji wa infinix phones usibishe fuatilia tu

Good morning all[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimbukeni tu inakusumbua!!! Ni nini unachoenjoy na iphone yako na mtumiaji wa Tecno smartphone akashindwa??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko na spark 2 yangu hapa sina shida.ring tone ya baba diamond,( aga aga gagaga dudu la yuyuuu..)
 
Back
Top Bottom