Utafiti: Watumiaji wa simu za Tekno huweka nyimbo za kawaida kama miito ya simu zao

Unaangalia bajeti na mahitaji. Mfano unakuta mtu anatumia uchafu kama samsung j3 anamcheka anayetumia tecno,.

Sent using Jamii Forums mobile app
samsung j3? kwa mm ninae zjua kero za tecno nathubut kusem hta performanc ya j1 huwez fananish na tecno bhn
kwa maan nlivokuwa natumia tecno kun mida simu hairespond ko nlijua cm zot ndo hivo lkn nlpo pat simu nyingin kumbe hazin hay mambo ko nimeshazsahau tab za tecno
kiufup watumiaj wa tecno n wavumiliv xna

Sent from my SM-J106H using JamiiForums mobile app
 
Ni sawa ila mda mwingine utakuta hamisho la pesa linatoka Tecno kwenda Iphone/Redmi-Mi na kadhalika.
 
Ni sawa na Kahaba wa buguruni au Ambiance kujifananisha na mwanamke aliyeolewa.

Itabaki pale pale kwamba mwanamke anayejiuza (kahaba) hana sifa nzuri mbele ya jamii, watu humtazama kwa mshangao na wanaamini pale alipo ni low quality [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…