slimdaddy 1993
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 212
- 138
samsung j3? kwa mm ninae zjua kero za tecno nathubut kusem hta performanc ya j1 huwez fananish na tecno bhnUnaangalia bajeti na mahitaji. Mfano unakuta mtu anatumia uchafu kama samsung j3 anamcheka anayetumia tecno,.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa maan nlivokuwa natumia tecno kun mida simu hairespond ko nlijua cm zot ndo hivo lkn nlpo pat simu nyingin kumbe hazin hay mambo ko nimeshazsahau tab za tecno
kiufup watumiaj wa tecno n wavumiliv xna
Sent from my SM-J106H using JamiiForums mobile app