The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
ila daa ukipata mtoto wa kike bana heee kazi unapata nzuri mshahara mzuri....maisha yanakuwa rahisi mnoo kila kitu ukitaka unapata...safari za nje wee utachoka weye....halafu vya kike vina upendoooo!! Mpaka roho inauma sana kukaacha ni ngumu.....huwaga vinaita dadiiii...sasa hako katoto mwache uone!! Kila kitu kina kata. Bora umuibe umwache mama yake...halafu mke ni mke tu hata akiwa mdogo....Bd sijaamini kbsa na sitakaa niamini eti