Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Utafutaji mpya wa ndege ya Malaysia Airlines MH370 umeanza zaidi ya muongo mmoja baada ya kutoweka katika moja ya mafumbo makubwa ya ajali za anga duniani.
Kampuni ya utafiti wa baharini, Ocean Infinity, imeanza tena juhudi za kuitafuta ndege hiyo, kama ilivyothibitishwa na Waziri wa Uchukuzi wa Malaysia, Anthony Loke, Jumanne.
Bawa la ndege hii liliokotwa kisiwani Pemba mwaka 2016, zaidi soma hapa: Zanzibar: Bawa la ndege laokotwa Kisiwani Pemba
Loke alisema kuwa mazungumzo ya mkataba kati ya Malaysia na kampuni hiyo bado yanaendelea, lakini alipongeza juhudi za Ocean Infinity kwa kuanza operesheni ya utafutaji wa ndege hiyo iliyopotea Machi 2014.
Soma Pia: Malaysia yaidhinisha Tsh. Bilioni 166.9 ili kuanza utafutaji wa Ndege ya MH370 iliyotoweka miaka 10 iliyopita
======================
A new search for Malaysia Airlines flight MH370 has been launched more than a decade after the plane went missing in one of aviation’s greatest enduring mysteries.
Maritime exploration firm Ocean Infinity has resumed the hunt for the missing plane, Malaysian transport minister Anthony Loke said on Tuesday.
Loke told reporters the contract details between Malaysia and the firm were still being finalised but welcomed “the proactiveness of Ocean Infinity to deploy their ships” to begin the search for the plane, which went missing in March 2014.
Details about how long the search would last had not been negotiated yet, he said. He also did not provide details about when exactly the British firm had restarted its hunt