dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
bado kuna watu mnaamini ndege ilipotea?
tafuteni kitabu kinaitwa 'the disapearing act' msome.......
ndege ilipigwa kombora na US, japo sababu ndio watu hawajui sababu,....
siku ile ya tukio kwenye eneo lile la bahari kulikua na maandalizi ya mazoezi ya kijeshi ya US na allies wake wa pande zile, palikua na meli vita nyingi, zenye radar advanced, then eti mnaamini ndege ikapotea......
anyway hii dunia wakubwa wakishakubaliana ndio imetoka, walishakubaliana kufanya cover-up ili maisha mengine yaendelee