Utafutaji mpya wa Ndege ya Malaysia Airlines MH370 waanza tena baada ya miaka 11

Utafutaji mpya wa Ndege ya Malaysia Airlines MH370 waanza tena baada ya miaka 11

Yaani dude kubwa kama ndege limepotea na haijulikani limeenda wapi..
Hata hilo bawa lililopatikana sidhani kama ni lenyewe labda walikua wanapiza upepo tu..
 
Nakumbuka uchunguzi ulitaja sababu ya ajali ya ndege hiyo ni suicide ya rubani wa ndege.

Ali plan tukio hilo kiukamilifu na kufanya practice kwa flight simulator kisha kuitekeleza plan kwa ustadi mkubwa akikwepa mifumo ya detection ya ndege na kuambaa kusikojulikana.
Au mwamba aliipeleka juu kabisa nje ya dunia Ikapotelea huko, sawa bahari ni kubwa sana ila na dege nalo sio poa ni kubwa na tech yote hii washindwe kudetect kama ipo chini ya bahari kweli.
 
Kwani kwenye ndege si Kuna paratute (miamvuli ya kujiokoa) kwanini kunapokuwa na dalili ya ajali abiria wasivae na mlango ufunguliwe waanze kuruka mmoja mmoja? Wataalamu wa ndege nisaidieni. Wewe kama ni abiria tu endelea kula kiporo chako.
Ubaya hili huwa linatokea ghafla na baharini. Ukiruka unaanguka baharini unazama. Na si kila mtu anaweza kutumia parachuti
 
Hii ndege kuna washenzi wameipeleka mahala watu wana siri sana Mungu ndo anajua abiria wasiojutambua kama mimi walikutwa na nini
 
One of mysterical phenomenon of this universe with all the present technology yet more than 10 years without finding... So strange!!!
 
Kwani kwenye ndege si Kuna paratute (miamvuli ya kujiokoa) kwanini kunapokuwa na dalili ya ajali abiria wasivae na mlango ufunguliwe waanze kuruka mmoja mmoja? Wataalamu wa ndege nisaidieni. Wewe kama ni abiria tu endelea kula kiporo chako.
Lzkin nadhani pia inategemea hiyo dharuka imetokea ikiwa mbali kias gan kutoka uso wa bahar.
 
Nakumbuka uchunguzi ulitaja sababu ya ajali ya ndege hiyo ni suicide ya rubani wa ndege.

Ali plan tukio hilo kiukamilifu na kufanya practice kwa flight simulator kisha kuitekeleza plan kwa ustadi mkubwa akikwepa mifumo ya detection ya ndege na kuambaa kusikojulikana.
kwani ilikuwa na rubani mmoja?
 
Kwani kwenye ndege si Kuna paratute (miamvuli ya kujiokoa) kwanini kunapokuwa na dalili ya ajali abiria wasivae na mlango ufunguliwe waanze kuruka mmoja mmoja? Wataalamu wa ndege nisaidieni. Wewe kama ni abiria tu endelea kula kiporo chako.

Umewahi kupenda ndege achilia mbali Mabasi ya kwenda kwenu Sitimbi?
 
Ndege ili beba abiria wawili wa kichina muhimu, walio kuwa biashara ya kuuza system au data fulani.

wateja wali kuwa wachina au wamarekani, shida wali kuwa tayari wame ingia mkataba na usa.

Moja ya kigezo ni iki tokea wame kufa, usa ata jimilikisha hiyo system.

Rejea, ndege ili onekana wakati Ina ondoka, ika tuma sauti za mazungumzo upande wa pili.

Ila baadae Waka kana kusema hawaja sikia kitu.
 
Kwani kwenye ndege si Kuna paratute (miamvuli ya kujiokoa) kwanini kunapokuwa na dalili ya ajali abiria wasivae na mlango ufunguliwe waanze kuruka mmoja mmoja? Wataalamu wa ndege nisaidieni. Wewe kama ni abiria tu endelea kula kiporo chako.
Wacha bangi mkuu, mambo haya endi hivyo.
 
Abiria zaidi ya 220 sio mchezo Wandugu, abiria wa kichina wenyewe walikuwa zaidi ya 100 kutoka Kuala Lumpur mpaka Beijing.....

Baadae familia za hawa Wachina wamekuja kulipwa dola 350K mpaka 420K wakatulia😆

Ila Conspirabcy kubwa ni kuwa jeshi la wanamaji wa USA (US NAVY SEAL)limehusika kwa 80% na Malaysia wanasaidiwa na Mfaransa kuhakikisha wanamuweka Mmarekani kati alipe fidia ya Ndege, Upotevu wa mali na watu....

Purnishment ya kihistoria, Malaysia walishalitambua hili wanakusanya tu Ushahidi
 
Back
Top Bottom