Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Au mwamba aliipeleka juu kabisa nje ya dunia Ikapotelea huko, sawa bahari ni kubwa sana ila na dege nalo sio poa ni kubwa na tech yote hii washindwe kudetect kama ipo chini ya bahari kweli.Nakumbuka uchunguzi ulitaja sababu ya ajali ya ndege hiyo ni suicide ya rubani wa ndege.
Ali plan tukio hilo kiukamilifu na kufanya practice kwa flight simulator kisha kuitekeleza plan kwa ustadi mkubwa akikwepa mifumo ya detection ya ndege na kuambaa kusikojulikana.
Ubaya hili huwa linatokea ghafla na baharini. Ukiruka unaanguka baharini unazama. Na si kila mtu anaweza kutumia parachutiKwani kwenye ndege si Kuna paratute (miamvuli ya kujiokoa) kwanini kunapokuwa na dalili ya ajali abiria wasivae na mlango ufunguliwe waanze kuruka mmoja mmoja? Wataalamu wa ndege nisaidieni. Wewe kama ni abiria tu endelea kula kiporo chako.
Lilidondokea baharini 2016 walipata baadhi ya mabaki yake bahari ya hindiAu mwamba aliipeleka juu kabisa nje ya dunia Ikapotelea huko, sawa bahari ni kubwa sana ila na dege nalo sio poa ni kubwa na tech yote hii washindwe kudetect kama ipo chini ya bahari kweli.
Litakuwa la kunguru mkuu,wanajua walipoipeleka ndege.Yaani dude kubwa kama ndege limepotea na haijulikani limeenda wapi..
Hata hilo bawa lililopatikana sidhani kama ni lenyewe labda walikua wanapiza upepo tu..
Lzkin nadhani pia inategemea hiyo dharuka imetokea ikiwa mbali kias gan kutoka uso wa bahar.Kwani kwenye ndege si Kuna paratute (miamvuli ya kujiokoa) kwanini kunapokuwa na dalili ya ajali abiria wasivae na mlango ufunguliwe waanze kuruka mmoja mmoja? Wataalamu wa ndege nisaidieni. Wewe kama ni abiria tu endelea kula kiporo chako.
Umeenda kwenye hiyo sherehe ya wasanii ama kwa libabu lako..?😅
Wao kama naniUS na china hawawezi shindwa ipata
kwani ilikuwa na rubani mmoja?Nakumbuka uchunguzi ulitaja sababu ya ajali ya ndege hiyo ni suicide ya rubani wa ndege.
Ali plan tukio hilo kiukamilifu na kufanya practice kwa flight simulator kisha kuitekeleza plan kwa ustadi mkubwa akikwepa mifumo ya detection ya ndege na kuambaa kusikojulikana.
Walishindwa kuwaokoa waliozama kwenye submarine ya ocean titanic, sembuse hyo ndegeAbiria waliokuwemo ndo wanafahamu siri yake daah sijui nn kiliitokea
Unahoji uwezo wa USA na China wewe kama nani?Wao kama nani
Kwani kwenye ndege si Kuna paratute (miamvuli ya kujiokoa) kwanini kunapokuwa na dalili ya ajali abiria wasivae na mlango ufunguliwe waanze kuruka mmoja mmoja? Wataalamu wa ndege nisaidieni. Wewe kama ni abiria tu endelea kula kiporo chako.
Unanihoji mimi kama nani wewe kama nani?Unahoji uwezo wa USA na China wewe kama nani?
Wacha bangi mkuu, mambo haya endi hivyo.Kwani kwenye ndege si Kuna paratute (miamvuli ya kujiokoa) kwanini kunapokuwa na dalili ya ajali abiria wasivae na mlango ufunguliwe waanze kuruka mmoja mmoja? Wataalamu wa ndege nisaidieni. Wewe kama ni abiria tu endelea kula kiporo chako.
Acha hasira tajiri hanuniwi, piga dua ukapewe mabikra 70Unanihoji mimi kama nani wewe kama nani?