Utaifa kwanza, Simba baadae: Kesho naishabikia Yanga!


We utaishia mataa ya Veta
 
Ni sawa na kummwambia yule "m'mama" machachari wa jukwaa la jf siasa anayeitwa F.fox aokoke! Haiwezekani, hasa inapokuja yanga yenyewe inacheza na timu yenye rangi nyeupe au nyekundu. Sitaki UNAFIKI. Siipendi yanga na nataka ifungwe TENA Uwanja wa taifa kweupeeeee.
Yanga 1 - Etoile 2.
Simba, Stars na timu yoyote inayocheza dhidi ya yanga OYEEEEEEEEEEEEEEE!
 

SIMBA ndo kidume, Tuliwatoa mabingwa watetezi wa champions league, sio kombe hili mmalojipapatua sasa. Kombe hili tulifika fainali. Usilinganishe usingizi na kifo.
Yanga lazima akae na safari yao imefika, Tunis ndo ukomo utaishia.
Kama hutaki, usisome komment hii.
YANGA WAPIGWE TUUUU.
 
Natamani nikushukuru na kukupongeza kwa kuonesha uzalendo....

Lakini moyo wangu wajawa na simanzi maana nahisi utatulete lile gundu la Msimbazi...
Hawa ndugu zetu wanajifanya "uzalendo uzalendo" ila wakishinda wataanza yale maneno yao. Maana kila timu wanayoifunga wao huona wameifunga simba. Wakishinda watarudi na kashfa.
Kila mtu abebe mzigo wake, nitashabikia Etoile na nawatakia kila la kheri Etoile. Yanga wapigwe tuu.
 
Kila nikikumbuka mechi ya Simba vs TP Mazembe walichofanya mashabiki WA Yanga uzalendo unapotea kabisa!
 
Uzalendo kwanza please!!!
 
I can support simba and any team play against yanga .... Hakuna namna zaid ya yanga kupigwa
 

Tuko pamoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…