edgar mwakipesile
Senior Member
- Apr 8, 2015
- 132
- 30
Hakuna cha utaifa hapa yanga lazima wapigwe leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIA YA KUISHABIKIA NINAYO.
SABABU YA KUISHABIKIA NINAYO.
NA UWEZO WA KUISHABIKIA NINAO.
Sasa tufikie wakati tubadirike wakuu.
Maana sipungukiwi na kitu kuishabikia Yanga kimataifa wakati anaiwakirisha nchi na ukanda mzima wa E.AFRICA.
Ili kuanza kuwashinda waarabu sasa ni kua united kimataifa!!!
Naomba kuwasilisha!!!
Mzalendo wa ukweli, ubarikiwe sana achana na mashabiki uchwara wanaopenda kuona Yanga ikifungwa, eti ikishinda itafikia rekodi ya Simba kuitoa Zamalek na hivyo Simba itakosa cha kujivunia; mawazo ambayo ni 'bull shit'! Simba itabaki kuwa Simba na Yanga itabaki kuwa Yanga.
CC. ANTIBIOTIQUE
Hawa ndugu zetu wanajifanya "uzalendo uzalendo" ila wakishinda wataanza yale maneno yao. Maana kila timu wanayoifunga wao huona wameifunga simba. Wakishinda watarudi na kashfa.Natamani nikushukuru na kukupongeza kwa kuonesha uzalendo....
Lakini moyo wangu wajawa na simanzi maana nahisi utatulete lile gundu la Msimbazi...
Kila nikikumbuka mechi ya Simba vs TP Mazembe walichofanya mashabiki WA Yanga uzalendo unapotea kabisa!
Uzalendo kwanza please!!!Ni sawa na kummwambia yule "m'mama" machachari wa jukwaa la jf siasa anayeitwa F.fox aokoke! Haiwezekani, hasa inapokuja yanga yenyewe inacheza na timu yenye rangi nyeupe au nyekundu. Sitaki UNAFIKI. Siipendi yanga na nataka ifungwe TENA Uwanja wa taifa kweupeeeee.
Yanga 1 - Etoile 2.
Simba, Stars na timu yoyote inayocheza dhidi ya yanga OYEEEEEEEEEEEEEEE!
NIA YA KUISHABIKIA NINAYO.
SABABU YA KUISHABIKIA NINAYO.
NA UWEZO WA KUISHABIKIA NINAO.
Sasa tufikie wakati tubadirike wakuu.
Maana sipungukiwi na kitu kuishabikia Yanga kimataifa wakati anaiwakirisha nchi na ukanda mzima wa E.AFRICA.
Ili kuanza kuwashinda waarabu sasa ni kua united kimataifa!!!
Naomba kuwasilisha!!!