Utajibu vipi ukiombwa hela ya pasaka weekend hii

Maake apo kwanza ncheke 😂
Utajiri wa upendo wa agape tu nnao tele ila madolari uongo bado nauandaa.
Hahah,. Hutashindwa na chochote in JN.
Majira kama haya mwakani accounts zako zitaanza kusoma kuanzia 7digits say Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…