Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 4,423
- 9,296
Sina ela minataka anaekuja kwa ela yake na kusepa kwa ela yakeUngejua venye nakupenda sasaππ..
Haya futa machozi kwanza uniambie vizuri hela za kuwapa wachumba utakua unamwibia nani??
Hapa kweli kazi ipoSina ela minataka anaekuja kwa ela yake na kusepa kwa ela yake
ππππ Kwaiyo sipati?Hapa kweli kazi ipo
Yani, bebi hataki shoboHili jibu la baby ni kibokoπππ
Ila Binti Sayuni03 mada zako zinafurahisha sanaMshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
View attachment 3308755
Watakua wamekusikiwa Hon. PresidentDont play fatherly or husband role on a girlfriend
haaa haaa kila kona imekaba, halafu bebi anaomba gauni la pasaka π π
Kujibu sina hela siyo rahisi kihivyo, huwa wanasemaga kuna mchongo wanausubiriaSasa si utoe tu jibu la ukweli. Uanze kufikiria cha kujibu kwamba unataka kudanganya au?
Kama hauna hela au hela ulioyoombwa haipo kwenye bajeti unajibu tu "sina hela"
Vizinga vya maboyfriend wanawake tunasubiri. Utasikia mama anaumwa nitumie 50k nitakurudishia mwisho wa mwezi, sahau hiyo.Toa neno boyfriend hapo. Haya mambo hayajahalalishwa eti boyfriend kuomba hela ya sikukuu kwa mwanamke wake.
Hebu mpumzisheni dada wa watu, daahhhIla Binti Sayuni03 mada zako zinafurahisha sana
Siyo kwa style hii lakini... Ila ni kusema tu sawa njoo uchukue...Tajiri hunaga baya
View attachment 3308841
Sawa ngoja tukupumzisheHebu mpumzisheni dada wa watu, daahhh
Siyo mimi huyoIla Binti Sayuni03 mada zako zinafurahisha sana
Haya kama unaona hivyoSawa nimekuelewa Nesi kungwi
Dah nimecheka sana ππ
π€£π€£π€£ dunia inatunyoosha hii π€£π€£Dah nimecheka sana ππ
Mh!Mtulizeeee
Lee unaniuza mzima mzima kweli umenichoka!, unajisahaulisha kuwa mi ni mumeo...?πWe si unawabania mbona wapo wazuri tu humu,.
Eti KENZY Gily Gru Half american mzabzab Binadamu Mtakatifu Mad Max kuna min -me
Wape nafasi hutajutiaaa
Kuna kusaidiana halafu kuna kuomba hela ya sikukuu. Tofautisha hapoVizinga vya maboyfriend wanawake tunasubiri. Utasikia mama anaumwa nitumie 50k nitakurudishia mwisho wa mwezi, sahau hiyo.
Halafu si ndiyo nyie nyie mnaojisifu kupenda mishangazi yenye hela.
Hilo neno BOYFRIEND litabaki kama lilivyo.