Utajiri na ustaarabu

Utajiri na ustaarabu

Kuna chembe chembe za ukweli, pia matajiri (wa siku nyingi ) huwa na huruma na wasiojali story za kusimang'ana
 
utajiri upi, halali wa bidii, ukabaji, uporaji, rushwa, wizi, ushirikina au utajiri wa kichawi? ustaarabu wao unatofautiana sana hususani kwenye zebra...
Factor zote ziweke constant
 
Umaskini na utajiri wote huanzia kwenye FIKRA. Ila utaendelea kuwa tajiri masikini au masikini tajiri kama hutafanikiwa kukua proportionately kwenye Physical, Emotional, Mental and Spiritual
 
we ni fala kweli tena hapo ulikua ukitazama ukiwa kwenye bodaboda, alokuambia mwenye v8 ni tajiri na mwenye ist ni masikini nani!? kuna watu wana hela mpaka basi ila wanatembelea vitz, na kuna watu wanapanga ila wanavimba mjini na v8....acha ushamba we kenge....utajiri haupimwi kwa magari
Acha uiinga. Findings zipo based on constants....yaani Tajiri mwenye v8 maskini mwenye IST. Names kuwa na V8 nikaendesha boda na IST. Jifunze kanuni za principles na conclusions za Tafiti vita a viz assumptions za conclusions
 
Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?

Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.

NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.
Kiukweli sina neno hapo
 
Factor zote ziweke constant
tajiri wa kishirikina anapita na wewe kwenye zebra na v8 yake kama kafara kuimarisha utajiri wake wa kishirikina na damu ya waendao kwa miguu kwenye zebra
 
Kumbe leo hii nikionekana zebra na gari la dingi wa rafiki yangu nikiwasubiria wapita njia wavuke mimi ni tajiri??? Haloo!
 
Kumbe leo hii nikionekana zebra na gari la dingi wa rafiki yangu nikiwasubiria wapita njia wavuke mimi ni tajiri??? Haloo!
Reason well. Utafiti umesume mwendeshaji ndo owner gari ni owner. Pili hata kama ni ya dingi, self esteem oukiwa unaendesha v8 ni kubwa. Likelywood ya wewe kujiamini na kuheshimu wengine inakuwa kubwa.
 
Logically incorrect, ustaarabu wa tajiri au maskini hauna any relation na usafiri anaoutumia.
 
Kwa nchi zinazojielewa road sign kila mtu anajua kuzifuata, na mtembea kwamiguu na mwendesha baiskeli au pikipiki ni watu wanaopewa heshima kubwa sana.

Hizo nchi kwenye stop sign police akifika lazima asimame, bongo polisi kwenye stop sign yeye ndio mtunga hizo sign kwaiyo hauna chakumwambia
 
Watu hubadika\kujieka kulingana na mazingira vivyo ilivyo kwenye hivi vyombo vya moto,muendesha subaru ni tofauti na muendesha v8
 
Acha uiinga. Findings zipo based on constants....yaani Tajiri mwenye v8 maskini mwenye IST. Names kuwa na V8 nikaendesha boda na IST. Jifunze kanuni za principles na conclusions za Tafiti vita a viz assumptions za conclusions
wewe ni kichaa hata hujui unaongea nini ...utakuta we ni kula kulala unatoka kwa shemeji
 
hili li fala linajifanya kusema utafiti utafiti...utafiti gani we soro!? labda utafiti maandazi ..kwa elimu gani ulionayo
 
Kwa nchi zinazojielewa road sign kila mtu anajua kuzifuata, na mtembea kwamiguu na mwendesha baiskeli au pikipiki ni watu wanaopewa heshima kubwa sana.

Hizo nchi kwenye stop sign police akifika lazima asimame, bongo polisi kwenye stop sign yeye ndio mtunga hizo sign kwaiyo hauna chakumwambia
Kule kuna camera za kiusalama ktk kila eneo lenye makutano ya barabara pamoja na njia za wavuka kwa miguu. Ukifanya ujinga habari yako utaikuta ktk mail box nyumbani kwako ndani ya masaa 24.

Marekani baadhi ya majimbo kuna button ktk nguzo za zebra endapo ukitaka kuvuka barabara, ukibonyeza kitufe baada ya sekunde kadhaa gari zinasimamishwa.
 
Back
Top Bottom