Utajiri na ustaarabu

Utajiri na ustaarabu

Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?

Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.

NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.
Ni ukweli kabisa. Sema maV8 yenye namba SM, STL, RC na nyingine za serikali wanavunja sheria barabarani hadi aibu tunaona sisi majobless.
RC DSM, kuna siku ilikuwa inapita kwa taa nyekundu pale junction ya masaki DonBosco hadi aibu.
Magari yote yamesimama, lenyewe gari kubwaaa, panaaa linapita upande upande, hilooo kwenye taa nyekundu.
Ile picha hadi kesho hainitoki akilini, niliona aibu sana.
 
hili li fala linajifanya kusema utafiti utafiti...utafiti gani we soro!? labda utafiti maandazi ..kwa elimu gani ulionayo
Wacha kurukaruka. I'm a psychologist mind u. So I have so much interest in behavior. Contribute intellectually. I have made conclusions based on my observations. Negate me with your own which I'm sure you don't have.
 
Ukiendesha chombo chochote cha moto katika hizi nchii, then ukafanya comparison na bongo utajua karibu nusu ya madereva bongo hawajui sheria na hawafuati sheria.

Kitu nimeona chautifauti na bongo huku hata kama unajifunza chombo cha moto barabarani ukakutana na mwingine anaendesha gari labda na akajua ndio unajifunza utaona ankupa support maana anajua unajifunza. Tofauti na bongo utaishia kutukanwa na kuambiwa kajifunze huko ukielewa ndio uje huku
Kule kuna camera za kiusalama ktk kila eneo lenye makutano ya barabara pamoja na njia za wavuka kwa miguu. Ukifanya ujinga habari yako utaikuta ktk mail box nyumbani kwako ndani ya masaa 24.

Marekani baadhi ya majimbo kuna button ktk nguzo za zebra endapo ukitaka kuvuka barabara, ukibonyeza kitufe baada ya sekunde kadhaa gari zinasimamishwa.
 
Utajiri = Kuridhika
Kuridhika = Utulivu
Utulivu = Utaarabu
 
Jibu swali. What makes personality and behavior. Hapa tunaongelea behavioral psychology.
Ni mazingira, but the way wewe ulivyorelate hayo mazingira na ustaarabu wa tajiri au maskini haijamake sense hata kidogo.
 
Back
Top Bottom