Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

Hakuna utajiri bila ya Siri
Hakuna Mungu bila ya Siri
Siri ndio Mungu, na Mungu ndio Siri.

Nguvu ni siri
Uwezo ni siri
Mamlaka ni siri
Utajiri ni siri
Ubunifu ni Siri
Uumbaji ni Siri

Nadhani unapaswa ufikiri vyema Mkuu
Samson alipotoa siri kwa Delilah aliharibu mnooo! Utajiri ni siri na siri ndiyo utajiri.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa kuwa utajiri ni siri. Ndio maana wengine wakifa wanaondoka na utajiri wao. Ina maana wanaondoka na Siri ya utajiri.
 
acha mara moja..anza na mambo ha kawaida kabisa..kwafano..mtu hajakuuliza..wewe unaanza..kesho naenda town kuna mishe yangu naenda kuisikilizia...unaemwambia anavuta umakini na anauliza issue gani budaa..weww sasa unatiririka...hahahha...mambo kama hayo hutakiwi kuyasema..we panga kichwan ratib na mipango yako..then anza kuexecute....yaan waone tu umevuta ndinga mpya..umenunua kiwanja na umejenga..umetangaza ndoa..umeenda nje kusoma Masters au PhD..nk nk...
Kama wana nia mbaya na wewe na kama hauna ulinzi wa Mungu ni kazi bure. Watakuroga ufie kwenye ndinga au jumba lako.
 
HUYU BILL LUGANO NI BILLIONAIRE LAKINI HAJAFICHA KITU.
 
Back
Top Bottom